Uandaaji wa filamu ya Royal Tour tumepigwa lakini uzinduzi wake tunapigwa zaidi!

Hapa tumepigwa. Kwa nini kuna usiri mkubwa wa gharama zilizotumika kuandaa na kuzindua film?
 
Nyoka ni nyoka tu. Kama uzao wa nyoka umesharudi kwenye mfumo, unatarajia kuna kitu hapo?
Hapo ni mwendo wa kupigwa mpaka 2025.
 
Kama FILAMU zinazaa mara 3000, sasa kwanini wananchi tuhangaike wakati mama yupo jameni? Chakufanya sasa kwa mwaka ukifyatua FILAMU kama 20 za mtaji wa Bilioni 10 ina maana tutapata kama Trilioni 30 ambayo ni Bajeti yetu kwa mwaka mzima.. Eti hapo si ni poa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…