Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Nabii muwazia mabaya.Subiri uone zitakavyotumika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii muwazia mabaya.Subiri uone zitakavyotumika!
Mkuu umaskini wetu unaanzia vichwani mwetu. Ukiweza kuondokana na dhana hizi potofu ambazo ni hasi siku zote, ni mwanzo wa kupiga hatua za kimaendeleo.Hivi kuna unabii hapa au ukweli unaojidhihirisha!
Tunahitaji kufanya mambo yetu kisayansi na siyo kufanya usanii kufurahisha watu!Mkuu umaskini wetu unaanzia vichwani mwetu. Ukiweza kuondokana na dhana hizi potofu ambazo ni hasi siku zote, ni mwanzo wa kupiga hatua za kimaendeleo.
Yanaendelea kufanyika kisayansi, kukosoa ni kazi nyepesi sana siku zote.Tunahitaji kufanya mambo yetu kisayansi na siyo kufanya usanii kufurahisha watu!
Mama ameacha kuwa Rais, ameanza kuwa mkurugenzi wa kituo cha uwekezajiSijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na imekwisha tazamwa sana. Sasa sijui kama viongozi wetu walikwisha fanya research ndogo tu kuona imeinufaishaje Rwanda. Manufaa ambayo kama Rwanda imepata basi yasingeweza kuwa siri ya ndani ya Rwanda bali pia spill over tungezipata hapa Tanzania au nchi nyingine za jirani.
Kitu cha kuzingatia ni kuwa wazo la kuandaa filamu hizi si la kwetu bali la hao wenye kumiliki uchumi lakini gharama ni za kwetu. Siyo siri katika kujenga uchumi wa nchi hakuna rafiki bali mwenye nguvu ndiye hushinda na kufaidi. Akili mu kichwa! Walio andaa wamefanikisha malengo yao bila jasho na kwa gharama nafuu.
Uzinduzi wa Royal Tour umekuwa balaa zaidi kwa hazina ya nchi! Rais wa nchi akiwa na wapambe wapatao 50 wamekaa zaidi ya wiki mbili nchini Marekani kufanya uzinduzi wa filamu hii kwa gharama za Watanzania walipa kodi. Wamarekani wamenufaika kwa kutembelewa na watalii kutoka Tanzania. Big brain amenufaika!
Kama hiyo haitoshi sasa uzinduzi utafanyika tena Tanzania kwa kodi zetu. Uzinduzi utafanyika Arusha, Zanzibar na Dar es Salaam. Tena washiriki watakuwa wengi zaidi! Haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma! Tumepigwa!
Tujisahihishe!
Return ni kubwa? Ni kweli return ni kubwa?"ukitaka kula lazima uliwe kidogo...hahahahah" hata kama zimetumika fedha nyingi return ni kubwa zaidi. That is investment. Uwekezaji siyo mpaka utoke kwa wazungu, hata sisi tunaweza tukafanya uwekezaji kama huo. Ukiwa na sherehe ili upate mchango lazima uingie mfukoni kwako uweke mazingira ya kupata michango. Ukiwa bahili hupati hata kumi.
Bado mtaendelea kupigwa zaidi maana mhusika hana uhakika wa kuwepo hapo alipo ni bora atengeneze pesa zinazopita kushoto kuelekea ncha ya mkeka wa kusini.Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na imekwisha tazamwa sana. Sasa sijui kama viongozi wetu walikwisha fanya research ndogo tu kuona imeinufaishaje Rwanda. Manufaa ambayo kama Rwanda imepata basi yasingeweza kuwa siri ya ndani ya Rwanda bali pia spill over tungezipata hapa Tanzania au nchi nyingine za jirani.
Kitu cha kuzingatia ni kuwa wazo la kuandaa filamu hizi si la kwetu bali la hao wenye kumiliki uchumi lakini gharama ni za kwetu. Siyo siri katika kujenga uchumi wa nchi hakuna rafiki bali mwenye nguvu ndiye hushinda na kufaidi. Akili mu kichwa! Walio andaa wamefanikisha malengo yao bila jasho na kwa gharama nafuu.
Uzinduzi wa Royal Tour umekuwa balaa zaidi kwa hazina ya nchi! Rais wa nchi akiwa na wapambe wapatao 50 wamekaa zaidi ya wiki mbili nchini Marekani kufanya uzinduzi wa filamu hii kwa gharama za Watanzania walipa kodi. Wamarekani wamenufaika kwa kutembelewa na watalii kutoka Tanzania. Big brain amenufaika!
Kama hiyo haitoshi sasa uzinduzi utafanyika tena Tanzania kwa kodi zetu. Uzinduzi utafanyika Arusha, Zanzibar na Dar es Salaam. Tena washiriki watakuwa wengi zaidi! Haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma! Tumepigwa!
Tujisahihishe!
Tumepigwa! Tumepigwa sisi! Tumepigwa sana!
Umeandika vitu vya kubumba, tena kubumba haswa. Eti Samia Suluhu ni mtu maarufu sana duniani? Kivipi? Kwa lipi?
Mimi ni miongoni mwa watu waliompinga Magufuli kwa 100% na mpaka leo hii simkubali, lakini katika suala la umaarufu, Magufuli alikuwa maarufu huenda mara tano zaidi ya Samia Suluhu, iwe hapa Tanzania au duniani. Kwa nini? Sababu kuu ni hizi.
1. Magufuli alipenda na kulazimisha aonekane maarufu kuliko mtu yoyote, kwa gharama zote. Magufuli alitamani kuua umaarufu wa wanasiasa wote ili umaarufu wote ubakie kwake. Ndio rais aliyetaka picha yake kwa lazima itundikwe kwenye ofisi zote za umma na binafsi nchi nzima kwa lazima. Popote alipokuwepo alitaka redio na Tv zote zirushe tukio lake kwa lazima tena live.
2. Misimamo migumu, ya ajabu, isiyoyumba yumba. Duniani ilimfahamu Magufuli kwa misimamo yake ya ajabu. Kuanzia misimamo ya kuwapinga vikali mabeberu, kuwaangamiza wapinzani wake, Korona.
3. Visa, vituko na mikasa. Magufuli alikuwa ni mzee wa drama mwanzo mwisho. Magufuli aliona fahari kujiita Kichaa na kujifananisha na mungu. Magufuli aliamini anajua kila kitu na anaweza kufanya kila kitu na kikafanikiwa. Mtu wa namna hii akicheza movie ni lazima ingehit tu duniani.
Note:
Waandaji wa Royal tour hawakuwa wanamtafuta mtu maarufu ili kutengeneza movie yao bali walikuwa wanatafuta mkuu wa nchi husika (rais) ili kucheza movie yao kwa sababu ya aina ya maudhui( mchango wa wanasiasa katika kukuza utalii) na malengo (kutangaza utalii) ya movie yao. Hata kama Samia Suluhu angekuwa maarufu sana kisiasa duniani bado asingetosha kucheza movie yoyote maarufu huko marekani kwa kuwa hana kipaji chochote cha kucheza movie. Mwisho kabisa unapaswa kufahamu kuwa project ya Royal tour ilianza kabla hata Samia hajawa rais wa Tanzania, na rais yoyote wa Tanzania ambaye angekuwa madarakani ingemhusu ikiwa angeridhia kushiriki.
Your IQ is lowest in human kingdom! Kwa kushindwa kung'amua kuwa unaliwa katika uwekezaji wako ni upumbavu! Utapata akili wakati tayari umefilisika!
Hivi unadhani kuna kitu tutapata hapa wakati hata miundombinu ya kupokea watalii haipo!
Tutapigwa sana!
Mama ameacha kuwa Rais, ameanza kuwa mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji
Hizo diapers vaa mwenyewe kwa kuwa kifo kimekuacha mjane, mbele unatoa na nyuma unaachiaPole sana, mpaka mwaka kuisha marehemu atakuwa na matarajio kapata wajukuu wa kutosha si kwa kufunguka huko aseee.
Tunajiandaa kununua zawadi as diapers.
Hela serikali haikutoa, zilitolewa na wadau wa utalii, na asasi zingineTumepigwa! Tumepigwa sisi! Tumepigwa sana!
Ah! Kumbe ni wewe, ningeshangaa kama angekuwa mtu mwenye akili timamu!Wewe mwenye IQ kubwa ya ukilaza na roho ya kichawi na ushamba juu acha porojo mama afanye kazi yake.Halafu watanzania mkoje mtu afanye nini ili mridhike? Haya sasa unajua utalii unachangia asilimia ngapi kwenye pato la nchi ambalo litasaidia kutengeneza hizo miundombinu? Acheni kuropoka ugoro halafu ni watu wazima