Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Falao kweli wewe
 
Na ndo maaana ana kisirani sana kidogo katoa bastola kutishia watu
Jamaa ana shida mahala,mara nyingi wasiosoma au waliopitia maisha magumu wakaja kua at least na maisha kidogo wanakuaga watata sana ujue, kibri kingi.
Hiyo Bastola anatembea nayo kila mahali...
Kuna siku nilimuona kwenye garage yake....Bastola ipo kiunoni..
 
Kwanza umeona gazeti la Leo la kumtetea mumewe kuanzia kuuza mitumba mpk sijui wpai wapi hukoo ...yote Ile kumaanisha jamaa ni Hustler kimtindo hvyo anatakiwa apewe sifa
Ile yote ni kuonesha jamii Bwana Shabani ni mambo safi..
Anatafuta namna ya kumfanya Bwana ake jamii imuheshimu kwamba hela ipo...
Ni huzuni aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ