Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shostiii....
Bwana anaandika Ulisi... kweli jamani?
Hapana....kuna mambo ya kuvumilia ilankuandika gani kule..
Hajasoma ule ni muandiko WA mtu asiyeenda shule kabisaa au la Saba failure!!na hakika ht mwanangu wa la 5 haandiki vile,nimejua why Zama anatumia nguvu kubwa kuonesha mmewe ana pesa
 
😀😀

Mambo mengine yanafurahisha licha ya kuwa Kwa mlengwa inaweza kuwa huzuni.

Husubufu kama uu tuliuongopa, kuadika na kusoma ni muhimu
😅 😅 😅 anampigania sponsor wake asiumbukee...!! ila shabaniii amekwamaa sanaa.. kijana anapendeza vile kuendesha ndinga kali alafu hata kuandika mtihani kazi aisee
 
Hawajiaminigi Hawa watu always wachache sana wamestaaribika wengi Wao wanakua na visirani na viburi
Zamaradi nadhani alitaka TU kuolewa Ili atoke Kwa Ruge na enzi zile baba juhjuh alikua anawaachanganya kama karanga vile
Unaweza kuta huyo Zamaradi mwenyewe hizo TV na kuongea ongea kumemsaidia labda na yeye ni seti tupu tu maana angekua na akili angepiga kimyaa - mtu mzima akivuliwa nguo uchutama kuficha aibu yake..Anyway, waarabu wa Pemba hujuana kwa Vilemba.
 
😀😀

Mambo mengine yanafurahisha licha ya kuwa Kwa mlengwa inaweza kuwa huzuni.

Husubufu kama uu tuliuongopa, kuadika na kusoma ni muhimu
Sema nini mwamba, kuna maneno yako mengine unayaadika tunajikuta kama tuna mafua vile kwenye kusoma..!! kwa mfano, husubufu, kuadika yaani mafua matupu..!!
 
hivi mtu asiejuaa kuandika huwa akiandika akisoma Anaona yuko sawa kabisaa hajakosea au??? maana kiukweri hule ujumbe sikufika hata nusu kuwusoma
Yaani anaandika anachokisema
Ujue waswahili wengi kwenye matamshi hatutamki sawasawa
Sasa anavoongea ndivyo anavoandika hapo ndo anabugi Sasa,ila wasanii wengi kuandika hawajui Kwa kweli
 
Hila, kene kuwatoreha watu basitora, ipo siku hatachokwa. Aiza ataperekwa porisi hau, watu watahamuha wamkande wenyewe. Sheliha mkononi
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hebu mniache miyeee....daah yaani nyie watu Kuna group la kitaa nipo kuna members wote baas Kuna Wengine wakiandika kaaa.... utacheka Mpk baasi ndo ulivoandika Wewe Sasa[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Unaweza kuta huyo Zamaradi mwenyewe hizo TV na kuongea ongea kumemsaidia labda na yeye ni seti tupu tu maana angekua na akili angepiga kimyaa.Anyway, waarabu wa Pemba hujuana kwa Vilemba.
Zama shule afadhali imemjenga amesoma Kunduchi Islamic,akahamia St.Mary's akaenda Uganda then advance kamaliza Cambridge,anajua kuongea shida huyo mmewe sasaa!!
Kwa Zama Sina shaka kiasi
 
Back
Top Bottom