MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ila nilikuja kugundua Jay anapendwa na kila mtu.. hadi Mange akanyoosha mikono pamoja na ushetani wake. Profesa anapendwa na watu wa dini na vyama vyote.Anything extra is harmful,Dunia imejaa watu wenye Kila aina ,Yuko sawa ila anakosea anafanya Sasa wengine waone waume zao Bure ,Zama angefanya qiyasi tu Ili kulinda heshima yake,sio wote wanapenda Zama alivyoolewa,anamiliki vya kumiliki,haijalishi hayo ya nyuma ya pazia laiti km angekua kimyaa au anafanya Kwa uchache yasingefika huko mpk kudhalilishwa huku Kwa'ulisi'..
Ukijisifu sana unakosa mtetezi
Mange alimposti profesa Jay alitukanwa mpk amefuta