Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Anything extra is harmful,Dunia imejaa watu wenye Kila aina ,Yuko sawa ila anakosea anafanya Sasa wengine waone waume zao Bure ,Zama angefanya qiyasi tu Ili kulinda heshima yake,sio wote wanapenda Zama alivyoolewa,anamiliki vya kumiliki,haijalishi hayo ya nyuma ya pazia laiti km angekua kimyaa au anafanya Kwa uchache yasingefika huko mpk kudhalilishwa huku Kwa'ulisi'..
Ukijisifu sana unakosa mtetezi
Mange alimposti profesa Jay alitukanwa mpk amefuta
Ila nilikuja kugundua Jay anapendwa na kila mtu.. hadi Mange akanyoosha mikono pamoja na ushetani wake. Profesa anapendwa na watu wa dini na vyama vyote.
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu maarufu wengi. Hadi sasa hivi bado Mkubwa Fella hana mpinzani kwa uandishi wa hovyo. Nadhani Fella nae ni mtu wa kusini. Mume wa Zamaradi akiongeza juhudi anaweza kuvunja rekodi ya Mkubwa Fella. Harmonize nae hayuko nyuma kwenye hili jambo. Kutoka Kaskazini kuna DC msomi Nikki wa Pili ana tatizo kwenye kuandika.
Na mbunge babu tale🤣🤣
Mtunga sera 🤣🤣
 
Halafu hapo kwenye waraka wake kaisema familia ya Ruge,eti hawajawahi kuleta hata chupi,kamsema Kusaga alikataa kutoa ada na kamsema Ruge alikufa bila kuacha mambo sawa. Kasahau kuwa anaishi kwenye nyumba iliyojengwa na marehemu Ruge. Ila sema ninasikia wanaume wa kutoka Lindi na Mtwara wapo vizuri sana kwenye bed.
Ile nyumba sio ya Ruge, ile nyumba ni ya PM, ilikua ishaanza kujengwa wao wakaimalizia na kuhamia, siku PM akiamua kuchukua mjengo wake sijui wataenda wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hebu mniache miyeee....daah yaani nyie watu Kuna group la kitaa nipo kuna members wote baas Kuna Wengine wakiandika kaaa.... utacheka Mpk baasi ndo ulivoandika Wewe Sasa[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]
Tufanyeje sasa na wametuambia tuwaige wenye fweza..!!
 
Back
Top Bottom