Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Huyu jamaa Sina shida nae kwny matumizi ya L na R ,shida ipo kwenye alichoandika ,mshkaj ni mshamba totally,since zamarad ni smart lazima aolewe na mume bwege coz atafanya vitu vyake kismart bila mume bwege kuelewa ,kamwe asingeolewa na smart mwenzie,turudi kwa mwamba,yaani jamaa anaongelea chupi,yaan nguo ya ndani unaiongelea public what a shame,aibu tunaona sisi wanaume na sio zamaradi,all in all wamlipe dogo muggy pesa zake wΓ ache ujinga
 
Kumbe anatoa hadi 5mil kweli mange ni kiwanda [emoji1]
Anatoa hata wale wasanii kuhojiwa wanalipa mpk 3m,Sasa exclusive kama ya Zamaradi ujue pesa si chini ya 3m hapo mtu kapata..ni rahisi mtu kukusaliti Mimi tu naogopa Mungu Kwa kweli ila ningeuza mtu Siku Moja [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]
 
Mimi tangu ile siku arobaini ya Salah.. kipindi Zama amegombana na Misa sababu ya nguo...

Kwenye kutoa Speech ya Bwana Shabani nilisema tuna safari ndefu sana kwa yule Bwana...

Alikuwa anaongea hata Steve simple Boy ana afadhali..
Hahahahahaa ....jamani!!!misheni town wa watu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ujue aliyesoma ana namna ya maongezi ht kama nonsense
 
Mkubwa fella,Harmonize ,Wolper na Marioo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawajui kuandika
 
Ila nilikuja kugundua Jay anapendwa na kila mtu.. hadi Mange akanyoosha mikono pamoja na ushetani wake. Profesa anapendwa na watu wa dini na vyama vyote.
Hahaaa...tulimchachamalia haswaaa...maisha yake amejiwekra heshima mnooo!!hana kashfa miaka ya hv karibuni na hata Zamani,sio mropokaji wala msema hovyo ,nidhamu na heshima pamoja na mkewe vinampa sana credit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…