Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Halafu Mwanaume kuweka emoji kwenye uandishi hua inatia mashaka sana.

IMG_0059.jpg

Mkuu uko sahihi kwenye mengine
Ila hauwezi ku judge uanaume wake kwa emoj
Watu huweka emoj kuonesha emotional na vile wanataka kuzungumza
Kuokoa muda pia

Tusifanye mambo yawe magumu

Enjoy.
 
Huyu jamaa Sina shida nae kwny matumizi ya L na R ,shida ipo kwenye alichoandika ,mshkaj ni mshamba totally,since zamarad ni smart lazima aolewe na mume bwege coz atafanya vitu vyake kismart bila mume bwege kuelewa ,kamwe asingeolewa na smart mwenzie,turudi kwa mwamba,yaani jamaa anaongelea chupi,yaan nguo ya ndani unaiongelea public what a shame,aibu tunaona sisi wanaume na sio zamaradi,all in all wamlipe dogo muggy pesa zake wàache ujinga
 
Kumbe anatoa hadi 5mil kweli mange ni kiwanda [emoji1]
Anatoa hata wale wasanii kuhojiwa wanalipa mpk 3m,Sasa exclusive kama ya Zamaradi ujue pesa si chini ya 3m hapo mtu kapata..ni rahisi mtu kukusaliti Mimi tu naogopa Mungu Kwa kweli ila ningeuza mtu Siku Moja [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]
 
Mimi tangu ile siku arobaini ya Salah.. kipindi Zama amegombana na Misa sababu ya nguo...

Kwenye kutoa Speech ya Bwana Shabani nilisema tuna safari ndefu sana kwa yule Bwana...

Alikuwa anaongea hata Steve simple Boy ana afadhali..
Hahahahahaa ....jamani!!!misheni town wa watu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ujue aliyesoma ana namna ya maongezi ht kama nonsense
 
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu maarufu wengi. Hadi sasa hivi bado Mkubwa Fella hana mpinzani kwa uandishi wa hovyo. Nadhani Fella nae ni mtu wa kusini. Mume wa Zamaradi akiongeza juhudi anaweza kuvunja rekodi ya Mkubwa Fella. Harmonize nae hayuko nyuma kwenye hili jambo. Kutoka Kaskazini kuna DC msomi Nikki wa Pili ana tatizo kwenye kuandika.
Mkubwa fella,Harmonize ,Wolper na Marioo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawajui kuandika
 
Ila nilikuja kugundua Jay anapendwa na kila mtu.. hadi Mange akanyoosha mikono pamoja na ushetani wake. Profesa anapendwa na watu wa dini na vyama vyote.
Hahaaa...tulimchachamalia haswaaa...maisha yake amejiwekra heshima mnooo!!hana kashfa miaka ya hv karibuni na hata Zamani,sio mropokaji wala msema hovyo ,nidhamu na heshima pamoja na mkewe vinampa sana credit
 
Back
Top Bottom