Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Ile Familia ya kina Ruge siku wakiamua kumchamba kisomi sijui ataficha wapi sura yake...
 
Kabisa kwa mwandiko huu bora nikope bustisha nikupigie tumalizane
Ila tusiongee sana kwani bi dada ana elimu gani
 
Angekuwa ni ndugu wa karibu sana na Mheshimiwa angekuwa vizuri, huyu kweli hawana undugu wowote. Tofauti yake na kina Saad Majaliwa ni kubwa sana.

Halafu yeye ndiye anayemuaibisha kweli Mheshimiwa, kuliko watoto wake halisi. Mara kutolea watu bastola, mara kupeleka watu polisi, mara kuwatisha watu maisha! Hapa Zamaradi alijua kuchemsha. Nahisi alikuwa anadhani anamkomoa Ruge wakati ule wa Nandy, kumbe anaingia kwenye ujinga mtupu.
 

Yani ni tatizo sana sasa hivi. Na mitandao hii ndio inawaumbua kabisaa. Watu hawajui kuandika, bado kwenye kuongea wanaongea ‘selasini, semanini, taLehe, staLehe, Apo (hapo), natasmini..’ Bado hawajui kuanza na herufi kubwa kwenye majina ya watu, miji, etc.. Hawajui kuweka nukta wala koma. Mtu anaandika weee, hakuna nukta wala koma.

Yani imekuwa ni vurugu tupu. Na wengine wamefika hadi chuo ila uandishi ni kasheshe. Sijui shida ipo huko mashuleni? Duh..
 
Asante kwa kunifungulia code mkuu [emoji28]
 
Watu waliokuwa hawazingatii shule wanaumbuka sana. Utetezi wao ni kuwa ukiwa na hela inatosha.
 

Kweli mkuu, mbaya sana unapokea sms ya kuchosha hivi, alafu unakuta dada mzuri

"lama.hani.nJoo balaBalani xaxA ivi.utaonagali reupe" 😳😳
 
HilobJamaa fala sana
 
HilobJamaa fala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…