Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Ile Familia ya kina Ruge siku wakiamua kumchamba kisomi sijui ataficha wapi sura yake...Halafu hapo kwenye waraka wake kaisema familia ya Ruge,eti hawajawahi kuleta hata chupi,kamsema Kusaga alikataa kutoa ada na kamsema Ruge alikufa bila kuacha mambo sawa. Kasahau kuwa anaishi kwenye nyumba iliyojengwa na marehemu Ruge. Ila sema ninasikia wanaume wa kutoka Lindi na Mtwara wapo vizuri sana kwenye bed.