Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Hao tu Kuna yule mkubwa kabisa ni dj sijawahi kumuona akilalamikaHalafu Ruge aliacha watoto wengine wawili mmoja ni mkubwa ambaye mama yake ni mke wa RDj Rommy na mwingine last born ana mama yake nimemsahau jina watoto wote hao wanasoma Feza na sijawahi kuona mama zao wakilalamika kuhusu matunzo. Huyu Shabani Madobe anawasimanga watoto anaolea hadi mambo ya chupi sijui. Aibu nimeona mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba jamaa anapiga Zaid yopeHuyu ndo maana halisi ya "msingi kiuno"
🙌🙌🤣Kweli mkuu, mbaya sana unapokea sms ya kuchosha hivi, alafu unakuta dada mzuri
"lama.hani.nJoo balaBalani xaxA ivi.utaonagali reupe" 😳😳
Hakuna mwanake anapenda kuwa single atakwambia tu barabarani usiku ukifika anajihisi mpweke japo si siku zote ila kale ka upweke kanakuja kabaya ila ndio vile anapiga moyo konde saa ingine analia akitoka nje ni super womanUtajua tu huyu ni Mbulula kama wengine.....Hawa wanawake wanaojiita Super woman hawapendi kuolewa na Mtu mwenye akili😆😆😆
NakubaliHakuna mwanake anapenda kuwa single atakwambia tu barabarani usiku ukifika anajihisi mpweke japo si siku zote ila kale ka upweke kanakuja kabaya ila ndio vile anapiga moyo konde saa ingine analia akitoka nje ni super woman
Hii inaitwa kumpoteza boyaHuyu ndo yule Zamaradi akimwekea mabango ya kumpenda kwenye jiji la Dar?
Roli modo kaonekana miyeyusho tu.....Kamuaibisha wife material na role model wa wanawake wengi.... si angempa hata Shuby amuandikie jaman
Hiyo moja umempa kutokea wapi?..1 out of 10.
Naomba nitofautiane na wewe kidogo, yaani kuandika neno "urithi" Kama inavyotakikana kunahitaji uwe na kipaji kweli? Kama umepita shule ya msingi vitu hivi tulijifunza kwenye imla bwana..Uandishi ni kipaji sizan km kuna haja ya kumshangaa
Suala la uandishi ni watu wachache wanaliweza nakili mm ni mmoja wapo uandishi unanitesa kuandika kitu na mtu akaelewa km vle ulivyowaza ni kaz sana
Lkn pia uandishi sio elimu watu wamesoma mpaka mwisho wa elimu lkn uandishi unawatesa
Upendo wa mshumaa ,unateketea huku ukimulikia wengine.Ila kusema ukweli Marehemu Ruge ni mtu aliyetengeneza maisha ya watu wengi huku akifeli maisha yake binafsi. Hii kitaalam sijui tunaweza kuielezeaje
Uandishi ni kipaji sizan km kuna haja ya kumshangaa
Suala la uandishi ni watu wachache wanaliweza nakili mm ni mmoja wapo uandishi unanitesa kuandika kitu na mtu akaelewa km vle ulivyowaza ni kaz sana
Lkn pia uandishi sio elimu watu wamesoma mpaka mwisho wa elimu lkn uandishi unawatesa
Huyo hata akisema anaenda chooni kamchungulie,au uliza Choo alifika huku huyu?Ujinga tu,aibu gani sasa.Yaani kudanganya Umma TV pesa katoa mmewe wakati ni amekopa Bank.Kwani angekaa tu kimya na si kudanganya. Maana kusema ukweli hakuna ulazima wowote wa kuandika instagram pesa ya TV alitoa wapi.
Ila Prof Jay anapendwa hadi Raha. Hana makuu Kaka wa watu.Anything extra is harmful,Dunia imejaa watu wenye Kila aina ,Yuko sawa ila anakosea anafanya Sasa wengine waone waume zao Bure ,Zama angefanya qiyasi tu Ili kulinda heshima yake,sio wote wanapenda Zama alivyoolewa,anamiliki vya kumiliki,haijalishi hayo ya nyuma ya pazia laiti km angekua kimyaa au anafanya Kwa uchache yasingefika huko mpk kudhalilishwa huku Kwa'ulisi'..
Ukijisifu sana unakosa mtetezi
Mange alimposti profesa Jay alitukanwa mpk amefuta
Ye mwenyewe Zama anajishuku ndo maana sifa nyingi mwisho anaharibu...!!!Yeah
Hamna anayemwonea wivu
Ok ye tajiri
Ila shule muhimu
Hata billigate tajiri wa dunia kasoma havard pale[emoji108]
Hizi dharau sasaaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anaandika Kama MKE wangu [emoji4]
Aliacha chuo Zama hakumalizaBi dada amesoma SAUT darasa moja na Gentamycin 2006.
Kama dada mwenyewe hii ndio cycle yale na Genta hii ndio class mate anayokubali basi ujue ni mapopoma wote.
[emoji38][emoji38][emoji38]jamaniiiAiseee kwa mwandiko huu Harmonize ni profesa wa Kiswahili.