Khaa,kumbe na Chuo kaliishia njiani? Ila kidada kina roho mbaya sana,sijui hajioni na alivyo sasa.Jinsi anavyojaribu kutuonyesha yupo vizuri sana na watoto wake kusoma FIS utadhani hapo shuleni wanaosoma ni watoto wake tu.Nilihudhuria mahafari na mwanae pia alikuwa anagraduate.
Wazazi tulimpendekeza yeye ndiyo atoe nasaha kwa niaba yetu kumbe waliompendekeza walijua kina penda sifa hizi.Tangu hili sakata litokee tunakuwa tunapigiana simu na kucheka hatari.Mama muwakilishi wetu katudharirisha sana[emoji3][emoji3]