Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahah
a kwahiyo niongeze nguvuNdiyo,
Umejirekebisha kiasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
a kwahiyo niongeze nguvuNdiyo,
Umejirekebisha kiasi.
Ongeza juhudi.Ahah
a kwahiyo niongeze nguvu
Uwii nimechekaaa😆😇😆😇😇😆😆🙌[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]mganga alimuacha aropoke tu ,yaani jitu shirikina vile unajitangazia umma mmeachana naimani Abdul alituma majini yote kutoka baharini yamrudishe divaa
Sio akili yake Ile bwanaa !!!Shirki live ile
Hakumalizaga..Kumbe Zama aliacha chuo? Afu akaenda wapiii?
Yuko kimaslahi bwana mganga,wanaroga balaa haswaa kwenye maslahi wanaume wa siku hizi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Manake huitaji jicho la rohoni kujua Yule Sheikh hampendi Diva, Yani hata kuigiza hawezi....Naye tumuweke kwenye maombi[emoji1787][emoji1787]
Ila wanaume wa siku hizi wanaroga nyiee....wananifanya nianze kumuhisi vibaya Hadi Baba K wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukute siku nyingi nishawekwa kwenye kibuyu[emoji1787]
NAkumbuka uliwahi sema ulitishia muachane akamaanisha.Manake huitaji jicho la rohoni kujua Yule Sheikh hampendi Diva, Yani hata kuigiza hawezi....Naye tumuweke kwenye maombi🤣🤣
Ila wanaume wa siku hizi wanaroga nyiee....wananifanya nianze kumuhisi vibaya Hadi Baba K wangu🤣🤣🤣, ukute siku nyingi nishawekwa kwenye kibuyu🤣
Angekua na bachelor angepewa cheo yule dadaHakumalizaga..
Chek yutube kwa gangana alisema..nadhani ndo akaenda c2c
Weee acha tu🤣🤣🤣🤣🤣 Na Mie niongezeni kwenye list ya maombi🤣🤣🤣🤣NAkumbuka uliwahi sema ulitishia muachane akamaanisha.
Dada ukaanza weweseka😆😆😆..kivuruge wangu wewe dah😆🙌
Na ndio sababu ya kugombana na wenzie wote anajiona yy yuko perfect kwa kila kitu,kwa style yake huwez kuwa na rafiki atakuvumilia labda utabadilika mwishowe anasepaShida kubwa ya Zama nikutaka kujionyesha she is 100%perfect which is not true...
Kwanini uishi kwa ajili ya kuwadanganya watu ili upate furaha? Haya sasa mambo yanazidi kufuka moto...baba wa Ulisi anazidi kuanikwa hadharani...
Hebu kwanza ncheke...
Sio vizur mda mwingine.Sawa baba yako ni mjinga na kakuzaa mjinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera kwa hela za uchawi[emoji1787][emoji1787]
Kabisaaa...huwezi taka ww uwe perfect tuu kila siku wenzako unawaona hawafai...ila kuna watu amewateka hatari...Na ndio sababu ya kugombana na wenzie wote anajiona yy yuko perfect kwa kila kitu,kwa style yake huwez kuwa na rafiki atakuvumilia labda utabadilika mwishowe anasepa
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sawa, kwa nihaba ya wanna jamiiifolamu, kina amisi wote naombeni musamaa wenu. Sisi nibinadaMu kukosehana kawahida.Muombe msamaha hamis mwinjuma kwenye hili
Ndo maana nimesema, watu wana hela.Ni hela nyingi kwetu sisi maskini.
Ila sio hela nyingi za kutisha
Dar kuna kaya za familia zaidi ya 10000 zinazoweza kulipia watoto wao hata watano kwenye shule za milioni 20 kwa mwaka.
Mfano key peoples wa banks mfano chief financial officers wa benk zote nchini wana afford hizo ada.
Waarabu na wahindi kibao wana afford hizo ada
Wabunge wote wana afford hizo ada
Ma kamishna wa majeshi yote wana afford hizo ada
Kwa dar wateja wa feza ni wengi sana
Duuuh kumbe hata Degree hana, sasa Yale magazeti na essay zake zile kwioooo.Akarudi dar kutangaza C2C mara akakutana na Ruge wakalana akapeleka clouds
Hadi nimestukaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa [emoji3526][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie waja, mumpuzishee mume wa Zama.Alikuwa mtoto wa mganga shule angapata muda sasa ngapi? Nani angetumwa kuchimba mizizi msituni na kuongeza makali huko sumbawanga[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.
View attachment 2745599
Dah huruma aisee😀😀Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.
View attachment 2745599
Limbwata siku hizi wanawekewa wanawake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usizubaee shogaaa.Manake huitaji jicho la rohoni kujua Yule Sheikh hampendi Diva, Yani hata kuigiza hawezi....Naye tumuweke kwenye maombi[emoji1787][emoji1787]
Ila wanaume wa siku hizi wanaroga nyiee....wananifanya nianze kumuhisi vibaya Hadi Baba K wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukute siku nyingi nishawekwa kwenye kibuyu[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehuu.Ila Kazi ya kuchimba mizizi imemlipa kajua dawa [emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi kamdhibiti mudada wa mjini, analishwa, nyumba za Ulisi zinauzwa apewe mtaji na kwenye bango atundikwa[emoji1787][emoji1787]
Hao waliokuwa wanaenda shule hadi masika hata kwenye wallpaper ya simu hawawekwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mjini akili
HatariiiiHakumalizaga..
Chek yutube kwa gangana alisema..nadhani ndo akaenda c2c