Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uwii nimechekaaa😆😇😆😇😇😆😆🙌
 
Yuko kimaslahi bwana mganga,wanaroga balaa haswaa kwenye maslahi wanaume wa siku hizi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
NAkumbuka uliwahi sema ulitishia muachane akamaanisha.

Dada ukaanza weweseka😆😆😆..kivuruge wangu wewe dah😆🙌
 
Shida kubwa ya Zama nikutaka kujionyesha she is 100%perfect which is not true...
Kwanini uishi kwa ajili ya kuwadanganya watu ili upate furaha? Haya sasa mambo yanazidi kufuka moto...baba wa Ulisi anazidi kuanikwa hadharani...
Hebu kwanza ncheke...
Na ndio sababu ya kugombana na wenzie wote anajiona yy yuko perfect kwa kila kitu,kwa style yake huwez kuwa na rafiki atakuvumilia labda utabadilika mwishowe anasepa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kabisaaa...huwezi taka ww uwe perfect tuu kila siku wenzako unawaona hawafai...ila kuna watu amewateka hatari...
Da Zama...da zama...
 
Ndo maana nimesema, watu wana hela.
 
Akarudi dar kutangaza C2C mara akakutana na Ruge wakalana akapeleka clouds
Duuuh kumbe hata Degree hana, sasa Yale magazeti na essay zake zile kwioooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikuwa mtoto wa mganga shule angapata muda sasa ngapi? Nani angetumwa kuchimba mizizi msituni na kuongeza makali huko sumbawanga[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie waja, mumpuzishee mume wa Zama.
 
Duh
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.

Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..

Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.

View attachment 2745599

Dah huruma aisee😀😀
 
Limbwata siku hizi wanawekewa wanawake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usizubaee shogaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…