Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Hamnaa kitu hapoooo yani bora hata asingejibuu aiseee kiukweli MANGE amesema ukweli woteee... daah wanawake wapo desparate sana na ndoaa mpaka aibuuu jamaa nilijua anafanya kazi kwenye organization kubwa hivii daah kumbe hata kuandika vizuri ni mtihani kazi ipo. FAKE LIFE WATU MAARUFU NI TATIZO KUBWA
 
Kapita maisha magumu mno
Alilala njaa,hakusoma,alitelekezwa
Kaokotwa akawa mchunga mbuzi
Lazima awe kisirani muda wote
Hawajiaminigi Hawa watu always wachache sana wamestaaribika wengi Wao wanakua na visirani na viburi
Zamaradi nadhani alitaka TU kuolewa Ili atoke Kwa Ruge na enzi zile baba juhjuh alikua anawaachanganya kama karanga vile
 
Kwanza umeona gazeti la Leo la kumtetea mumewe kuanzia kuuza mitumba mpk sijui wpai wapi hukoo ...yote Ile kumaanisha jamaa ni Hustler kimtindo hvyo anatakiwa apewe sifa
🤣🤣🤣Sijaliona
Anatetea ujinga
Ye mwenyewe tiamaji
Mzee wa fursa
Alijitongozesha kwa ruge apate maisha
Kakulia uswekeni ambapo chai ya asubuh na vitafunwa ni anasa🤣
 
Kwa jinsi Zamaradi anavyomsifiaga unaweza sema hili lijamaa litakuwa next level in everything..

She is overrating him too much...


Huu uandishi hata mwanangu wa darasa la nne amemshinda..

Huyu hata la sabab alifeli[emoji736]
Shida zamaradi(zamaladi kama alivyoitwa na mumewe) anataka kuwa perfect..mie nilishamhisi muda kuna kitu hakiko sawa toka amuweke mumewe kwenye banner..something is wrong somewhere
 
Na ndo maaana ana kisirani sana kidogo katoa bastola kutishia watu
Jamaa ana shida mahala,mara nyingi wasiosoma au waliopitia maisha magumu wakaja kua at least na maisha kidogo wanakuaga watata sana ujue, kibri kingi.
Hii nchi is totally doomed. Yaani Mwanausalama anatishatisha watu kisa ana undugu na raia Majaliwa?
 
Halafu hapo kwenye waraka wake kaisema familia ya Ruge,eti hawajawahi kuleta hata chupi,kamsema Kusaga alikataa kutoa ada na kamsema Ruge alikufa bila kuacha mambo sawa. Kasahau kuwa anaishi kwenye nyumba iliyojengwa na marehemu Ruge. Ila sema ninasikia wanaume wa kutoka Lindi na Mtwara wapo vizuri sana kwenye bed.
Hivi bado wanawake wanafata hayo kisa mzuri bed?..khe
 
Hii mchi is totally doomed. Yaani Mwanausalama anatishatisha watu kisa ana undugu na raia Majaliwa?
Sio usalama bwana yule ,Sema Kwa kua alikua anafanya Kazi Kwa majaliwa kupewa silaha ni kitu Cha kawaida
Usalama Gani hajui kuandika "urithi"?!!
Hii nchi ya hovyo sana basi itakua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio usalama bwana yule ,Sema Kwa kua alikua anafanya Kazi Kwa majaliwa kupewa silaha ni kitu Cha kawaida
Usalama Gani hajui kuandika "urithi"?!!
Hii nchi ya hovyo sana basi itakua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
zamaladi 😅 😅 😅 😅 maamee hii nchi connection ndo kila kituu jamaa hata kuandika ni shidaa
 
Back
Top Bottom