Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Kuna jamaa hajui kusoma wala kuandika lakini anapesa mingi sana sasa sijui uandishi sahihi unasaidia nini kwenye dunia hii ya kila kitu pesa.
M
Wanamdharau jamaa ilihali akaunt zao hao wasomi hazisomi hata 1m.

Mimi siwezi zarau mtu asiye jua kuandika na kusoma kwasababu anaye nipa madili za mamilion ni jamaa yangu mkongomani nayeye hajui kusoma wala kuandika
Sa mtu hajui Kusoma na kuandika,na kuhesabu anajua sasa😀😀si umuibie tu
 
Duuuh kumbe hata Degree hana, sasa Yale magazeti na essay zake zile kwioooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Millard hayo mwenyewe hana degree

Kozi ambazo zinahitaji ulazima wa kuwa na degree ili uzifanye ni chache sana.

Kozi hizo ni zile za Engineering, medicine, law, kidogoo na accounting.. kozi zingine zote zilizobaki mtu yeyote anaweza akafanya kazi akifundishwa.

Ndio maana mbunge kishimba alishangaa na kucheka mtu anakaa chuo miaka mitatu anasomea manunuzi.. hivi mtu gani hawezi kununua akifundishwa
 
IST inakwenda almost 70M+.Pale ni parefu haswa ndiyo maana wabongo wachache sana wanapeleka hapo watoto.
Mmhhh...Kwa mwaka?!!!!duhhhh..si balaa hiliii
Ndo maana wanasoma watoto wa vigogo na matajiri tu pale
 
Back
Top Bottom