Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Si ndiyo maana unaona mapacha wa marehemu Mzee Mengi wanasoma pale.Huendi pale kama una pesa ya mawazo.Huku kwa kina Braeburn,HOPAC,ISM,FIS huko ndiko wabongo wanajitutumua walau.Ada ya IST kwa mwaka ni ada ya miaka miwili ya hizi shule nilizotaja hapo juuMmhhh...Kwa mwaka?!!!!duhhhh..si balaa hiliii
Ndo maana wanasoma watoto wa vigogo na matajiri tu pale