Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Habari wanajamvi....
Tusikilize hotuba hizi mbili toka kwa viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Endeleeni kudharau waislamu lakini iko siku kitaeleweka!
 
﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.​

 
Kwa jana, viongozi wa kikristo (TEC (katoliki) na pentecost) ile ilikuwa kuonyesha frustration zao za kushindwa kwa walilokusudia la kumuondoa Samia madarakani......pale Wana hasira balaa. Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote. Hawajakemea sababu waliyasapoti na kuyawezesha.......katika namna wasiojua Wala kuelewa ndiyo wakajikuta maandamano kama ya Nepal au Madagascar yameshindikana. Ni aibu kubwa!!!
 
Elimu elimu elimu!!.

Hizo Elimu zenu mnazi overrate sana. Wenye hizo Elimu kubwa kuliko Waislam wameifanyia nini hii Nchi cha tofauti ambacho Waislam hawajakifanya? Mbona maisha ya Waislam ya kidunia yanafanana tu na wengine hapa Bongo? Na hii 2025 bado mnataka kukejeli watu kwa Elimu ya Sekula na kuwaringishia! Hata watoto wa Madrasa mbona tunasoma sana hizo pia, Alhamdulillah.
 
Ukipewa pilau na nyama nyingi unamtaja mtume sana kule makalio mengi kulilo ya mungu
 
Yule mchungaji chotara ni hatari, aligonga utosini nikaona Nape Nnauye ameachamisha Domo TU alidhani mchungaji huyo nae angekuwa chawa kama sheikh Zuberi
Tunajua kuwa hii ni vita yenu ya kidini ndg, hilo liko wazi tu. Sheikh Wala hajaomba kinafiki isipokuwa kwakuwa mna ajenda yenu na hiyo dini ya kiislamu basi ndo hivyo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…