Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
Udini hautosaidia. Ukiona mtu anaanza kujenga hoja kwa kutumia udini, huyo ameishiwa.Habari wanajamvi....
Tusikilize hotuba hizi mbili toka kwa viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia
View attachment 3497339
View attachment 3497340
Ukidhani kujenga uchonganishi wa kidini kutakusaidia, unajidanganya.