Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Amina, nimeanini kupitia awamu hii kuwa kumbe Kuna Shari kubwa saaana dhidi ya Waislamu......Mungu atatusaidia. Kinachoniuma ni kwamba hakuna kiongozi aliyepatwa kuungwa mkono vizuri na Waislamu kama JPM, hawakumsumbua kwa lolote Wala kumsema vibaya pamoja na kwamba kulikuwa Kuna viashiria vyote vya udini flani ktk serikali Yake (mawaziri sijui ISHIRINI basi Waislamu walikuwa sijui wawili tu). Masheikj Wala hawakutukajwa, Leo wanafanya kitu kilekile walichofanya kwa JPM lakini matusi kwa dini hii ya Kiislamu yamepamba moto. Kwakweli Kuna kitu Cha kidini ndani yake, kipo kabisaa!Endeleeni kudharau waislamu lakini iko siku kitaeleweka!