Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

Umemaliza Uzi ufungwe.
Kwa jana, viongozi wa kikristo (TEC (katoliki) na pentecost) ile ilikuwa kuonyesha frustration zao za kushindwa kwa walilokusudia la kumuondoa Samia madarakani......pale Wana hasira balaa. Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote. Hawajakemea sababu waliyasapoti na kuyawezesha.......katika namna wasiojua Wala kuelewa ndiyo wakajikuta maandamano kama ya Nepal au Madagascar yameshindikana. Ni aibu kubwa!!!
 
NgerukeAbra mafundisho sahihi ya Uislam yamekataza kumkosoa mtawala hadharani, mtawala ananasihiwa kwa siri.
Weka andiko/Aya.......vipi tulivyofundishwa kuwa uovu uondoe kwa mikono yako,kauli yako ukishindwa kabisa uchukie moyoni.
Pia mafundisho ya uislamu hayajaruhusu mwanamke kuwa kiongozi.
 
Hapana, wao waliwahamasisha na kuwawezesha kufanya fujo, kuharibu mali na kupora.........vyovyote iwavyo, matendo hayo lazima tu yaishie pabaya kama mauaji yaliyotokea. Kwa hakika wametenda maovu sana viongozi hao wa dini na wanahitaji sana kutubu.
Weka ushahidi wa maneno yako
 
W
Amina, nimeanini kupitia awamu hii kuwa kumbe Kuna Shari kubwa saaana dhidi ya Waislamu......Mungu atatusaidia. Kinachoniuma ni kwamba hakuna kiongozi aliyepatwa kuungwa mkono vizuri na Waislamu kama JPM, hawakumsumbua kwa lolote Wala kumsema vibaya pamoja na kwamba kulikuwa Kuna viashiria vyote vya udini flani ktk serikali Yake (mawaziri sijui ISHIRINI basi Waislamu walikuwa sijui wawili tu). Masheikj Wala hawakutukajwa, Leo wanafanya kitu kilekile walichofanya kwa JPM lakini matusi kwa dini hii ya Kiislamu yamepamba moto. Kwakweli Kuna kitu Cha kidini ndani yake, kipo kabisaa!
Wakristo ni wadini sana
 
Ukweli huwa haijifichi mwenye cv ya sheikh mwaipopo. Sulle. Alhad mussa. Mazonge. Na wengineo aweke hapa.
 
Kwa jana, viongozi wa kikristo (TEC (katoliki) na pentecost) ile ilikuwa kuonyesha frustration zao za kushindwa kwa walilokusudia la kumuondoa Samia madarakani......pale Wana hasira balaa. Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote. Hawajakemea sababu waliyasapoti na kuyawezesha.......katika namna wasiojua Wala kuelewa ndiyo wakajikuta maandamano kama ya Nepal au Madagascar yameshindikana. Ni aibu kubwa!!!
Sina shaka nawe ni msomi!
mtikila.jpg
 
Weka andiko/Aya.......vipi tulivyofundishwa kuwa uovu uondoe kwa mikono yako,kauli yako ukishindwa kabisa uchukie moyoni.
Pia mafundisho ya uislamu hayajaruhusu mwanamke kuwa kiongozi.

Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) kasema;

“Whosoever wishes to advise the Ruler, let him not do so openly. Rather he should take him by his hand into seclusion [and advise him]. If he accepts that from him, it is in his favour, and if he does not accept, he has fulfilled his duty.” (Imām Ahmad in al-Musnad, no. 15359, As-Sunnah Ibn Abī ʿĀsim, no. 1096-1097 with Shaikh Al-Albānī’s checking – an authentic hadeeth)

Kuondoa munkar kwa mkono ni kwa yule mwenye mamlaka kama vile mtawala au baba kwa familia yake, sio kila mtu anafanya hivyo. Ndio maana imefungamanishwa na uwezo. Na kwa ulimi ni kwa wanachuoni na wenye Elimu na hao wanapotaka kumnasihi mtawala wamefundishwa namna ya kumnasihi kama ulivyoona katika Hadith pale juu.

Na kuhusu kutawaliwa na mwanamke; Katika hali ya uhiyari tutamtanguliza mwanaume juu ya mwanamke ila hakuna uhiyari na mwanamke kapata nguvu juu yetu tutamsikiliza na tutamtii (katika yasiyo maasi).

Sikiliza hapa chini

View: https://youtu.be/inhkOPcQewI?si=vzD8SLZz1lvjqLcg

Mwisho, soma hadith ifuatayo kwa umakini na tafakuri na umfuate Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alichotuusia;

Hudhayfah ibn al-Yaman reported: I asked, “O Messenger of Allah, we were living in an evil time and Allah brought us good in which we live now. Will there be evil after this good?” The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Yes.” I said, “And any good after this evil?” The Prophet said, “Yes.” I said, “And any evil after this good?” The Prophet said, “Yes.” I said, “How will it be?” The Prophet said, “After me, leaders will come who do not follow my guidance or my Sunnah. Some of their men will have the hearts of devils in a human body.” I said, “O Messenger of Allah, what should I do if I live to see that time?” The Prophet said, “You should listen and obey the ruler, even if he strikes your back and takes your wealth, even still listen and obey.”

Source: Ṣaḥīḥ Muslim 1847
 
Naona unajizima data Sasa tafuta taarifa kama vikao havikufanyika kuhusu reforms,na huyo Raisi wenu akaamua kupuuzia..
Pia kuna kesi mbalimbali zilifinguliwa kuhusu muundo wa tume ya uchaguzi kwenye mahakama zetu hadi kwenye mahakama ya Afrika.
Taasisi nyingi zimeshazungumzia kuhusu utata wa hiyo tume.
 
Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) kasema;

“Whosoever wishes to advise the Ruler, let him not do so openly. Rather he should take him by his hand into seclusion [and advise him]. If he accepts that from him, it is in his favour, and if he does not accept, he has fulfilled his duty.” (Imām Ahmad in al-Musnad, no. 15359, As-Sunnah Ibn Abī ʿĀsim, no. 1096-1097 with Shaikh Al-Albānī’s checking – an authentic hadeeth)

Kuondoa munkar kwa mkono ni kwa yule mwenye mamlaka kama vile mtawala au baba kwa familia yake, sio kila mtu anafanya hivyo. Ndio maana imefungamanishwa na uwezo. Na kwa ulimi ni kwa wanachuoni na wenye Elimu na hao wanapotaka kumnasihi mtawala wamefundishwa namna ya kumnasihi kama ulivyoona katika Hadith pale juu.

Na kuhusu kutawaliwa na mwanamke; Katika hali ya uhiyari tutamtanguliza mwanaume juu ya mwanamke ila hakuna uhiyari na mwanamke kapata nguvu juu yetu tutamsikiliza na tutamtii (katika yasiyo maasi).

Sikiliza hapa chini

View: https://youtu.be/inhkOPcQewI?si=vzD8SLZz1lvjqLcg

Mwisho, soma hadith ifuatayo kwa umakini na tafakuri na umfuate Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alichotuusia;

Hudhayfah ibn al-Yaman reported: I asked, “O Messenger of Allah, we were living in an evil time and Allah brought us good in which we live now. Will there be evil after this good?” The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Yes.” I said, “And any good after this evil?” The Prophet said, “Yes.” I said, “And any evil after this good?” The Prophet said, “Yes.” I said, “How will it be?” The Prophet said, “After me, leaders will come who do not follow my guidance or my Sunnah. Some of their men will have the hearts of devils in a human body.” I said, “O Messenger of Allah, what should I do if I live to see that time?” The Prophet said, “You should listen and obey the ruler, even if he strikes your back and takes your wealth, even still listen and obey.”

Source: Ṣaḥīḥ Muslim 1847

Pia kwenye katiba yetu wenye nchi ni wananchi hivyo wana haki ya kuondoa dhulma,uonevu na maovu.
 
Rejea tu hotuba zote za viongozi wa Kikatoliki, unaweza ukajiongeza za gwajima Kisha changanua kwa kutumia d zako mbili utanielewa. Vipi wewe una ushahidi wa madai yenu?
Madai yangu yapo kwenye hizo video mbili na kama jinsi kichwa cha habari cha Uzi kinavyosomeka
 
Hizo Elimu zenu mnazi overrate sana. Wenye hizo Elimu kubwa kuliko Waislam wameifanyia nini hii Nchi cha tofauti ambacho Waislam hawajakifanya? Mbona maisha ya Waislam ya kidunia yanafanana tu na wengine hapa Bongo? Na hii 2025 bado mnataka kukejeli watu kwa Elimu ya Sekula na kuwaringishia! Hata watoto wa Madrasa mbona tunasoma sana hizo pia, Alhamdulillah.
Hamna akili, angalia hata viongozi wanaongoza nchi ni vilaza kama wewe.
 
Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote.
Hata huo unaojiita "udaktari wa manesi" haukupi uwezo wa kutumia akili kujuwa chimbuko la maandamano ni nini?

Hii imani yako inayo kuondoa ubinaadam hivi; unaamini kweli kwamba itakufikisha huko unakodhani kuna mungu wako anaye bagua watu kwa misingi ya kiimani kiasi hiki kinachofanyika sasa?
 
Back
Top Bottom