Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Nyinyi msio na njaa mmeleta tofauti gani?Ubwabwa wananjaa sana maustadhi
Hawategemei tende za msaada
Hakuna mali yenye thamani zaidi ya maisha ya binadamu awaye yoyoteKwa jana, viongozi wa kikristo (TEC (katoliki) na pentecost) ile ilikuwa kuonyesha frustration zao za kushindwa kwa walilokusudia la kumuondoa Samia madarakani......pale Wana hasira balaa. Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote. Hawajakemea sababu waliyasapoti na kuyawezesha.......katika namna wasiojua Wala kuelewa ndiyo wakajikuta maandamano kama ya Nepal au Madagascar yameshindikana. Ni aibu kubwa!!!
Ila wanategemea mabilioni ya walipa kodi kupitia MoU na Serikali?
Huyu maza ana uislam gani?hana lolote tofauti yake na firauni ni jinsia na zama tu za kiutawala baaasiii﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Khaa😅! Hawa Mashekh wa Bakwata wanavua nguo WaislamuHawategemei tende za msaada
Bora mabilioni huku wakitoa huduma muhimu kwa jamii kuliko tende za shilingi huku wakiwa chawa
Kumbe na wewe uliona ni kama alikuwa anatoa sauti Fulani ya chatu khaaaaaarrrrYule mchungaji chotara ni hatari, aligonga utosini nikaona Nape Nnauye ameachamisha Domo TU alidhani mchungaji huyo nae angekuwa chawa kama sheikh Zuberi
Huyu maza ana uislam gani?hana lolote tofauti yake na firauni ni jinsia na zama tu za kiutawala baaasiii
Ila sio kabisaa
Endeleeni kudharau waislamu lakini iko siku kitaeleweka!
Tuna vimelea vichache vya unafiki damuniNyinyi msiowaza ubwabwa muda wote na kahawa mna maisha tofauti na sisi kwa kiasi gani?
Tunajidharaurisha na kujishushia heshima wenyeweEndeleeni kudharau waislamu lakini iko siku kitaeleweka!
Kwahiyo kuhusu kudai haki na uchaguzi huru sio mila za kiislamu?﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.