Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Amina, nimeanini kupitia awamu hii kuwa kumbe Kuna Shari kubwa saaana dhidi ya Waislamu......Mungu atatusaidia. Kinachoniuma ni kwamba hakuna kiongozi aliyepatwa kuungwa mkono vizuri na Waislamu kama JPM, hawakumsumbua kwa lolote Wala kumsema vibaya pamoja na kwamba kulikuwa Kuna viashiria vyote vya udini flani ktk serikali Yake (mawaziri sijui ISHIRINI basi Waislamu walikuwa sijui wawili tu). Masheikj Wala hawakutukajwa, Leo wanafanya kitu kilekile walichofanya kwa JPM lakini matusi kwa dini hii ya Kiislamu yamepamba moto. Kwakweli Kuna kitu Cha kidini ndani yake, kipo kabisaa!Endeleeni kudharau waislamu lakini iko siku kitaeleweka!
Hapa ndugu nimekuelewa vizuri,kuna waislamu wana mihemko wala hawaijui BAKWATA vizuri.Ukiona Sheikh ametoka Bakwata, basi tambua fika huyo hawakilishi umma wa Waislamu wote nchini. Maana kuna wawakilishi wengine wanatambulika kama Shura ya Maimam. Wale jamaa na unafiki, ni vitu viwili tofauti.
Acha uzwazwa sikiliza tena!Kwa jana, viongozi wa kikristo (TEC (katoliki) na pentecost) ile ilikuwa kuonyesha frustration zao za kushindwa kwa walilokusudia la kumuondoa Samia madarakani......pale Wana hasira balaa. Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote. Hawajakemea sababu waliyasapoti na kuyawezesha.......katika namna wasiojua Wala kuelewa ndiyo wakajikuta maandamano kama ya Nepal au Madagascar yameshindikana. Ni aibu kubwa!!!
Naona CCM wamehamishia vita vyao kwenye udini na kujidai tuilinde amaniAmina, nimeanini kupitia awamu hii kuwa kumbe Kuna Shari kubwa saaana dhidi ya Waislamu......Mungu atatusaidia. Kinachoniuma ni kwamba hakuna kiongozi aliyepatwa kuungwa mkono vizuri na Waislamu kama JPM, hawakumsumbua kwa lolote Wala kumsema vibaya pamoja na kwamba kulikuwa Kuna viashiria vyote vya udini flani ktk serikali Yake (mawaziri sijui ISHIRINI basi Waislamu walikuwa sijui wawili tu). Masheikj Wala hawakutukajwa, Leo wanafanya kitu kilekile walichofanya kwa JPM lakini matusi kwa dini hii ya Kiislamu yamepamba moto. Kwakweli Kuna kitu Cha kidini ndani yake, kipo kabisaa!
Hivyo ni sahihi tu kuzivunja, kuzichoma moto na kuziiba Mali za watu Huku watekelezaji wa hayo wakiangaliwa tu, au sio?!!!Hakuna mali yenye thamani zaidi ya maisha ya binadamu awaye yoyote
Udini upo sana tu kwani Sasa unaonekana dhahiri tu. Hilo ndo kubwa mlilonalo. Ni vijana tu hawa, hususani wa kiislamu, hawajaelewa huu mchezo. Siku wakoelewa patakuwa hapatoshi hapa.Naona CCM wamehamishia vita vyao kwenye udini na kujidai tuilinde amani
Hata asingeongea chochote kwa wakristo hasa Catholic na protestants (Lutheran, Anglican etc) ... Wanaelewa maana ya purple stroller scarf (scarf ya zambarau aliyovaa)... Hiyo inavaliwa kipindi Cha kwaresima tu ama wakati wa kuungama .... Hivyo ni ishara ya maumivu, mateso, maombolezo na toba.... Hata asingeongea wakristo wote duniani walioona na tupo kipindi Cha kwenda noeli (Christmas) sio wakati wa vazi lile ..ule ni ujumbe tosha duniani hata asingeongea.Kwa jana, viongozi wa kikristo (TEC (katoliki) na pentecost) ile ilikuwa kuonyesha frustration zao za kushindwa kwa walilokusudia la kumuondoa Samia madarakani......pale Wana hasira balaa. Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote. Hawajakemea sababu waliyasapoti na kuyawezesha.......katika namna wasiojua Wala kuelewa ndiyo wakajikuta maandamano kama ya Nepal au Madagascar yameshindikana. Ni aibu kubwa!!!
Ukitaka vita ya kidini waislamu tupo nyuma miaka 100,hata raisi,makamu wa Raisi, waziri mkuu wote wakiwa waislamu bado kwenye Baraza la mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya waislamu hawatafika hata asilimia 25.Udini upo sana tu kwani Sasa unaonekana dhahiri tu. Hilo ndo kubwa mlilonalo. Ni vijana tu hawa, hususani wa kiislamu, hawajaelewa huu mchezo. Siku wakoelewa patakuwa hapatoshi hapa.
Bora hao Waislamu wanopewa sahani ya pilau wakashiba nyinyi mnapewa udongo plus chumvi plus maji mnaliwa pesa zenu sasa kati ya hao nani mwenye akili?Waislam ukiwapa sahani moja ya pilau, bc umewachota akili.
NgerukeAbraHata asingeongea chochote kwa wakristo hasa Catholic na protestants (Lutheran, Anglican etc) ... Wanaelewa maana ya purple stroller scarf (scarf ya zambarau aliyovaa)... Hiyo inavaliwa kipindi Cha kwaresima tu ama wakati wa kuungama .... Hivyo ni ishara ya maumivu, mateso, maombolezo na toba.... Hata asingeongea wakristo wote duniani walioona na tupo kipindi Cha kwenda noeli (Christmas) sio wakati wa vazi lile ..ule ni ujumbe tosha duniani hata asingeongea.
Ali Hassan Mwinyi alikuwa mkristo!?? Kikwete !?? .... Msifiche maupumbavu ya huyu kwa kivuli Cha dini .....Amina, nimeanini kupitia awamu hii kuwa kumbe Kuna Shari kubwa saaana dhidi ya Waislamu......Mungu atatusaidia. Kinachoniuma ni kwamba hakuna kiongozi aliyepatwa kuungwa mkono vizuri na Waislamu kama JPM, hawakumsumbua kwa lolote Wala kumsema vibaya pamoja na kwamba kulikuwa Kuna viashiria vyote vya udini flani ktk serikali Yake (mawaziri sijui ISHIRINI basi Waislamu walikuwa sijui wawili tu). Masheikj Wala hawakutukajwa, Leo wanafanya kitu kilekile walichofanya kwa JPM lakini matusi kwa dini hii ya Kiislamu yamepamba moto. Kwakweli Kuna kitu Cha kidini ndani yake, kipo kabisaa!
Tena huyo mzee wa kihindi mnafki wa Mwisho. Kapiga u turn siku ya uapisho wakati huko nyuma alikua anasuport ccmWote kenge tuuu ,yaani baada ya usenge wote ule kabla na baada ya uchaguzi bado wakapeleka pua zao kwenye huo uaharisho sijui uapisho.Sina imani nao tena takataka.
Katika uislamu kuna jicho kwa jicho, sasa utamlaumu vipi au kumlaani aliye kurudishia ulicho mpa.Kwa jana, viongozi wa kikristo (TEC (katoliki) na pentecost) ile ilikuwa kuonyesha frustration zao za kushindwa kwa walilokusudia la kumuondoa Samia madarakani......pale Wana hasira balaa. Yule wa kikatoliki amejifanya kuwakumbuka marehemu lakini kamwe hakukemea fujo, uporaji na uharibifu wa Mali uliopelekea haya yote. Hawajakemea sababu waliyasapoti na kuyawezesha.......katika namna wasiojua Wala kuelewa ndiyo wakajikuta maandamano kama ya Nepal au Madagascar yameshindikana. Ni aibu kubwa!!!
Hizi mada zenye hisia za kidini ni za kipuuzi tuachane nazoHabari wanajamvi....
Tusikilize hotuba hizi mbili toka kwa viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia
View attachment 3497339
View attachment 3497340
Sawa, waendelee kuvaa hizo scarf za zambarau kuomba toba kwa kusababisha vifo na Nia yao ovu ya kuliangamiza taifa.Hata asingeongea chochote kwa wakristo hasa Catholic na protestants (Lutheran, Anglican etc) ... Wanaelewa maana ya purple stroller scarf (scarf ya zambarau aliyovaa)... Hiyo inavaliwa kipindi Cha kwaresima tu ama wakati wa kuungama .... Hivyo ni ishara ya maumivu, mateso, maombolezo na toba.... Hata asingeongea wakristo wote duniani walioona na tupo kipindi Cha kwenda noeli (Christmas) sio wakati wa vazi lile ..ule ni ujumbe tosha duniani hata asingeongea.
Mwenyezi Mungu atuepushie mbali na hilo balaa, wenye Nia ovu kama hiyo aendelee kuwatia upofu kama mara zote walizojaribu kulitia majaribuni taifa letu hili pendwa.Ukitaka vita ya kidini waislamu tupo nyuma miaka 100,hata raisi,makamu wa Raisi, waziri mkuu wote wakiwa waislamu bado kwenye Baraza la mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya waislamu hawatafika hata asilimia 25.
Angalia madaktari,askari,wanajeshi,walimu n.k
Kuitegemea BAKWATA ni upuuzi mtupu.
Waislamu huwa wanatumika tu.
Mimi nilieanzisha huu uzi ni muislam ila sipendi unafiki!