Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

Wapi wamelalamika leta uzi tuone. Huduma bora hupatikana kwa gharama mkuu
Hizo huduma muhimu wanazitoa kwa bure? Au kwa bei nafuu? Mapesa wanapewa na bado makanisani mnakamuliwa ila bado mnalipia kwa gharama mpaka baadhi naona hulalamika humu.
 
Mkuu sio tunawadharau Waislam nyie ni ndg zetu ila jitahidini kuchagua viongozi wenu wenye kuwa pia na elimu dunia ya kutosha ili watawala wahuni wasiwadanganye na kuwatumia hovyo kwa maslahi yao!!.

Waandamanaji wameuawa mamia waislam & wakristo ni nn kiliwazuia mashehe kuwaombea dua waliofariki?!.
 
Facts
 
Mwenyezi Mungu atuepushie mbali na hilo balaa, wenye Nia ovu kama hiyo aendelee kuwatia upofu kama mara zote walizojaribu kulitia majaribuni taifa letu hili pendwa.
Msihubiri amani huku watu wananyimwa haki
 

Sisi ni njaa na kukosa Elimu
 
Sawa, waendelee kuvaa hizo scarf za zambarau kuomba toba kwa kusababisha vifo na Nia yao ovu ya kuliangamiza taifa.
Hao waliovaa skafu za zambarau ndio walikuwa mitaani wakiwapiga watu risasi?
 

Attachments

  • VID-20251103-WA0005.mp4
    1.4 MB
Hao waliovaa skafu za zambarau ndio walikuwa mitaani wakiwapiga watu risasi?
Hapana, wao waliwahamasisha na kuwawezesha kufanya fujo, kuharibu mali na kupora.........vyovyote iwavyo, matendo hayo lazima tu yaishie pabaya kama mauaji yaliyotokea. Kwa hakika wametenda maovu sana viongozi hao wa dini na wanahitaji sana kutubu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…