Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Sio kweli.Nimefika hapa Qatar toka tarehe 11.12.2022 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya France vs Morocco ila jambo moja nimeshuhudia hawa wenyeji washenzi wa tabia. Vijana toka Afrika wanadhalilishwa na kufanyiwa ufedhuli bila hofu ya maandiko. Hizi dini aisee
wanapinga kwenye public tuMkuu au sababu wanapinga michezo ile
Mjumbe hauwawi!
Kwa hiyo,walikufanyia kamchezo,ukachezeka,ndio ukajuwa wanapinga kwenye Piblic.wanapinga kwenye public tu
Umesema kweli. Kama mahali hakuna ustaarabu, wanakwenda kufanya nini. Wakati kila leo ndege, zinajaa.Huyu anachosema ni chuki tu kama vile kusema wanawake wanadhalilishwa wakati wanawake wanajidhalilisha wenyewe kujirekodi huku wanajichomeka matikiti maji sehemu za Siri.Video zikisambaa wanalalamika oooh tunadhalilishwa.
Ha haha haaaaaaa hahahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa wa kuokota kisoda.Mkuu au sababu wanapinga michezo ile
unaamini kweli huyo yuko qatar?Hii ni chai kama chai zingne,kwan qatar umeenda ww tu??? Mbona wengine wasiseme we ndo ue wa kwanza???
we jamaa wa ajabu sana sasa kuna uhusiano gani na madaLisu na mbowe wanalipwa na mabeberu ili tuweke lockdown Tanzania ,lakini i say never---' JPM
Kibaya zaidi ni kwamba this is the most expensive World Cup ever. Wa Qatar wametumia US dollars billion 220, katika miaka 10 iliyopita, kujiandaa na World Cup.Nimefika hapa Qatar toka tarehe 11.12.2022 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya France vs Morocco ila jambo moja nimeshuhudia hawa wenyeji washenzi wa tabia. Vijana toka Afrika wanadhalilishwa na kufanyiwa ufedhuli bila hofu ya maandiko. Hizi dini aisee.