Uarabuni hakuna ustaarabu tunaoelezwa

Uarabuni hakuna ustaarabu tunaoelezwa

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Nimefika hapa Qatar toka tarehe 11.12.2022 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya France vs Morocco ila jambo moja nimeshuhudia hawa wenyeji washenzi wa tabia. Vijana toka Afrika wanadhalilishwa na kufanyiwa ufedhuli bila hofu ya maandiko. Hizi dini aisee.

 

Attachments

  • afrodance.intl_1670669384188908.mp4
    42.6 MB
Huyu anachosema ni chuki tu kama vile kusema wanawake wanadhalilishwa wakati wanawake wanajidhalilisha wenyewe kujirekodi huku wanajichomeka matikiti maji sehemu za Siri. Video zikisambaa wanalalamika oooh tunadhalilishwa.
 
Huyu anachosema ni chuki tu kama vile kusema wanawake wanadhalilishwa wakati wanawake wanajidhalilisha wenyewe kujirekodi huku wanajichomeka matikiti maji sehemu za Siri.Video zikisambaa wanalalamika oooh tunadhalilishwa.
Umesema kweli. Kama mahali hakuna ustaarabu, wanakwenda kufanya nini. Wakati kila leo ndege, zinajaa.
 
Mzee wamekushika kalio 😂 (joke)

Kosa lenu kubwa ni kuwafanya waarabu ndio Waislamu, kuna uislam,muislam na mwarabu. Kama hujaelewa nitakuelewesha.

Sio kila muislam ni mtu poa na bado sio kila mwarabu ni mtu swaaafi.

Kitendo cha mtume kupelekwa uarabuni ni sababu walikuwa wamekithiri ushenzi, mtume alikuwa hapelekwi sehemu hakuna ushenzi, kuanzia nuhu, ibrahimu, luti na wengine wengi ni sababu ya kwenda kuwakumbusha watu jamaa eehh, mmezidi kipimo.

Sasa nawashangaa mmavyowashangaa waarabu kuwa washenzi
.
 
Elezea vizuri tuelewe. Umeona jambo gani likakufanya ukaona jamaa wanazingua
 
Nimefika hapa Qatar toka tarehe 11.12.2022 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya France vs Morocco ila jambo moja nimeshuhudia hawa wenyeji washenzi wa tabia. Vijana toka Afrika wanadhalilishwa na kufanyiwa ufedhuli bila hofu ya maandiko. Hizi dini aisee.

Kibaya zaidi ni kwamba this is the most expensive World Cup ever. Wa Qatar wametumia US dollars billion 220, katika miaka 10 iliyopita, kujiandaa na World Cup.

Wametumia hela zote hizo lakini hawataki kuwalipa vizuri wafanyakazi na kuwapa haki zao

Hili linaonesha unyama fulani hivi. Deep down hawa watu wanaamini katika utumwa mpaka leo. Basi tu dunia imepiga marufuku utumwa.

 
Back
Top Bottom