Uarabuni hakuna ustaarabu tunaoelezwa

Uarabuni hakuna ustaarabu tunaoelezwa

Hizi ni porojo tu na inaonyesha wazi huijui vizuri Historia ya jamii mbalimbali za dunia hii.
Mzee wamekushika kalio [emoji23] (joke)

Kosa lenu kubwa ni kuwafanya waarabu ndio Waislamu, kuna uislam,muislam na mwarabu. Kama hujaelewa nitakuelewesha.

Sio kila muislam ni mtu poa na bado sio kila mwarabu ni mtu swaaafi.

Kitendo cha mtume kupelekwa uarabuni ni sababu walikuwa wamekithiri ushenzi, mtume alikuwa hapelekwi sehemu hakuna ushenzi, kuanzia nuhu, ibrahimu, luti na wengine wengi ni sababu ya kwenda kuwakumbusha watu jamaa eehh, mmezidi kipimo.

Sasa nawashangaa mmavyowashangaa waarabu kuwa washenzi
.
 
Back
Top Bottom