Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,438
- 826
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeyapenda mawazo yako ingawa uovu, uwe wa mashupavu au wadhaifu, ni dhambi.Mi ntaunga mkono sukuma gang. Bora ujiunge na kundi shupavu lenye nia ovu kuliko kujiunga na kundi dhaifu lenye nia ovu.
Hakuna uasi wala nini....Mkuu mama anaupiga mwingi:
Baraza jipya: Watu wale wale, wao Hawajiajiri?
Ushauri wa bure: "kazi iendelee!"
Cc: Jumbe Brown
Hakuna uasi wala nini....
CCM ishwari chini ya mh.Chifu Hangaya!
Mama anazidi kuifungua nchi 👍
#Kazi Iendelee
#Twende na Dr.Tulia Ackson 🙏
Kwani mahakama imeridhia Ndugai kuondoka kinyume cha katiba?
Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha
Vipi CCM nao wameridhia Dr. Tulia kugombea u Spika huku akiwa angali Naibu Spika kinyume cha katiba?
Huko CCM mnafahamu kuna kitu kibaya katiba kinacho hitajika kufungwa kwenye uongozi wa nchi?
View attachment 2078309
Au kwenu, kununa, hasira, chuki, visasi nk ni vikorombwezo halali kwenye uongozi?
😳🤣🤣Imebidi niingie kwenye ukurasa wa Bunge.
Kwenye news and events kuna heading. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Ajiuzulu.
Hapo utakuta taarifa kwa vyombo vya habari kuwa yeye Job ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama chetu kujiuzulu nafasi yake.
Para 2 ‘Pia nakala ya barua yangu hiyo ya kujiuzulu nimewasilisha kwa katibu wa bunge…’
Hoja yangu:
1. Kwenye ukurasa wa Bunge, ipo tu taarifa kwa vyombo vya habari ambayo ndo imesambaa mitandaoni.
2. Barua ya Job kujiuzulu haipo.
3. Katibu wa Bunge hajakiri kupokea barua y job
4. Hakuna mahali katibu wa chama chetu amekiri kupokea barua ya Job
5. Sijaona mahali hiyo nafasi imetangazwa kuwa wazi[emoji848]
My take: Job ni Spika halali wa Bunge.
View attachment 2078330
Imebidi niingie kwenye ukurasa wa Bunge.
Kwenye news and events kuna heading. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Ajiuzulu.
Hapo utakuta taarifa kwa vyombo vya habari kuwa yeye Job ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama chetu kujiuzulu nafasi yake.
Para 2 ‘Pia nakala ya barua yangu hiyo ya kujiuzulu nimewasilisha kwa katibu wa bunge…’
Hoja yangu:
1. Kwenye ukurasa wa Bunge, ipo tu taarifa kwa vyombo vya habari ambayo ndo imesambaa mitandaoni.
2. Barua ya Job kujiuzulu haipo.
3. Katibu wa Bunge hajakiri kupokea barua y job
4. Hakuna mahali katibu wa chama chetu amekiri kupokea barua ya Job
5. Sijaona mahali hiyo nafasi imetangazwa kuwa wazi[emoji848]
My take: Job ni Spika halali wa Bunge.View attachment 2078330
Ninakazia:😳🤣🤣
Kaka mkubwa banaa ulikuwa "busy" kutomsikia katibu wa bunge na mh.kiongozi wetu Chongolo akiongelea kupokelewa kwa barua ya kujiuzulu ya mh.Ndugai ?!!
Ama kwa kuwa maelezo yao hayakuwekwa katika ukurasa wa mtandao wa bunge?!!
Jiulize swali moja jepesi tuu.. Yuko wapi Jobo? Mbona hatumuoni?Msikie Mh. Mbatia hapa:
Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha
Kuna hatari kuwa hata hiyo inayosemekana barua kwa Chongolo wameandika maCCM.
Jiulize swali moja jepesi tuu.. Yuko wapi Jobo? Mbona hatumuoni?
Kwa kweli hajakuelewa.... Just Forgive...Umuhimu upi? Wa kuunda kikundi cha kikabila? You are too stupid to understand this ...!
Raia wa Tz wasio na meno ni kama mazombi,ata mkiambiwa cha kufanya hamtofanya maana kuandamana tu kunawashinda.Aiseh;;mkuu mshanar ungesema pia sisi raia tufanyaje yaani tahadhari gani tuchukue wakati hali ikiwa tete?