Uasi mkubwa unakuja CCM

Mkuu tangia lini UJERUMANI IKAWA CHRISTIAN COUNTRY...

Tangia mwanzo, Ujerumani ndiyo baba wa Western Civilization ambayo ni christianity, western christianity at least, kwanza Western Europe yote ni Christian.

Martin Luther reformer mwanzilishi wa Protestants alikuwa Mjerumani !
 
Watu mmlimsema jpm leo mnamlilia baada ya kurudishwa kwenye mgao wa umems[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri, Hangaya ajiandae kisaikolojia.
 
Tangia mwanzo, Ujerumani ndiyo baba wa Western Civilization ambayo ni christianity, western christianity at least, kwanza Western Europe yote ni Christian.

Martin Luther reformer mwanzilishi wa Protestants alikuwa Mjerumani !
Kama ndio hivyo basi ISRAEL haihusiani na UKRISTO kwa namna yoyote.
 
ona sasa[emoji848]
 
Kama ndio hivyo basi ISRAEL haihusiani na UKRISTO kwa namna yoyote.

Unachanganya mambo, Isarel siyo Wakristo ni Wayahudi, isitoshe nimeongelea Western Christianity, kuna ukristo wa aina nyingi mfano Orthodox ambao uko Urusi na Eastern Europe wao hata Christmas hawasherehekei 25/12 bali husherehekea tarehe Januari 7 na Mwaka mpya kwao ni Januari 14 na siyo Januari 1 kama western, hata Ethiopia wana Ukristo wao ambao siyo Western, Misri wana ukristo wao wanaoitwa Coptic n.k.

Ukristo wa Ujerumani na Ulaya ndio huu tulionao na ulikuja na Ukoloni …
 
Mi ntaunga mkono sukuma gang. Bora ujiunge na kundi shupavu lenye nia ovu kuliko kujiunga na kundi dhaifu lenye nia ovu.
Rudi Msoga Gang wewe haraka ili uendelee kula mema ya nchi! Huko Sukuma Gang utakufa njaa, au uishi kama digidigi!

Huwaoni Sukuma Gang wenzako? Hawajulikani hata waliko kwa sasa! Jeuri na tambo zao zote, kwishaa!!
 
Katiba mpya ndio mchawi hapa maana anaweza tokea makamu wa rais mchawi akamroga Rais ili aukwae U-Rais.
 
Ccm Ina wenyewe bushmen waliingia kichwa kichwa wameliwa kichwa
 
Mfumo wa ccm Mwenyekiti ndie mmiliki wa chama nae umpa maisha yeyeto amtakae.
Naona chawa wa mwendazake, sukuma gang,waunga juhudi na covid hawana chao.
Waungane waanzishe chama magufuli part ichuane na ccm msajili si ndugu yao atawapa usajili.
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…