Ubabe wa Israel Kijeshi

Mbona kama wanawavimbia hawavai Tena usongo kichwani wanabaki Kujichanganya Kwa Raia Na Jamaa Walivyo Na Roho Mbaya Wanapiga Humo Humo Kwenye Mshono Watu Wanaisha huko Nyie Mnabaki Hamas Wanaume Wakati Watu Wanaomba Poo
 
Kwani Hezbollah inachukua command kwa nani na ipo backed na nani? Hezbollah si hii hapo imeanzisha mashambulizi Israel, Hezbollah ipo wazi ni kundi La Iran, Sasa Iran iingie vitani mara ngapi?
 
Nimekuelezea chimbuko la ISIS mzee, tuache story nyingi, kasome chimbuko la ISIS, ISIS ilitaka kuichukua SYria, baada ya Russia, Iran na Hezbollah kuingia ndipo wakawamaliza, hakuna cha US wala ushenzi wa US, mwaka mzima anapambana badala ya kupunguza ISIS wanaongezeka
 
Kama Israe ni mtori kama ulivosema mbona hatuoni Waarabu wakienfa front kusadia HAMAS?
 
Yes itskuwa very expensive war ,zamani niliposikia ndege zisizo na rubani nilishangaa sana .kwa sasa karobu kila nchi inamiliki kasoro tz tu . Hi tech kama wwngekuwa nayo hamasi mbona maisha yao yangekuwa magum sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kama Israe ni mtori kama ulivosema mbona hatuoni Waarabu wakienfa front kusadia HAMAS?
Wanaendaje kusaidia hali ya kuwa Hamas pekee inamshinda, Israel kama mbabe kwa nini anashindwa kuchukua mateka Gaza hadi anakubali kuachia wafungwa 150? Gaza imezungukwa na Israel.

Ngoja nikuoneshe ramani unielewe hio nyekundu ndogo ndio Gaza ambapo kuna wafungwa na hao Hamas, Israel imeshindwa kuwapata, ni kituko cha karne.
 
Ndo alitoa zile 3.7b usd na kwa sasa zimebaki 1.3usd pekee na uchumi unaendeela kudorora

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kelele za nini? Chukueni Tel Aviv na muwafute Yahudi kwenye uso WA duniani...
 
Sio kweli, sikubaliani na ulichokiandika maana hakina uhalisia zaidi ya propaganda tupu.

Aliyeishinda Isis ni US na Western coalition yaani UK France, Belgium n.k kwa kushirikiana na wakurdi (YPG).

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…