Ubabe wa Israel Kijeshi

Apia
 
Kwanza Iran ana jukumu kubwa kwenye kushindwa kwa Isis maana ndo iliwa zuia wapiganaji ya Is kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Baghdad maana jeshi la Iraq tiyari lilikuwa limesha zidiwa kabla wa wapiganaji wa kishia chini ya Iran kuingia front line.

Mkuu nadhani hujanielewa hakuna aliye sema kuwa IS na Mujahidina wana uhusiano au Isis ili anzishwa na Marekani.

Bali walisema kuwa chimbuko la Is limechangiwa na Marekani ni tokana na uvamizi wake dhidi Iraq ambao ulidhohofisha jeshi la Iraq na kuwafanya Isis kupata nafasi ya kujipanga na kufanya kile walicho kifanya.

Pia silaha za Marekani alizo sambaza kwa mujahidina ndo ziliwapa nguvu ya kufanya kile walicho kifanya na Isis ilizinunua silaha hizo kwa urahisi kutoka kwenye makundi mbali mbali kutoka Afghanistan.
 
Mungu yupi? Leo hii Israel wanasherehekea ndoa za jinsia Moja (pride month). Nenda YouTube utaona. Beach zao zimejaa watu wapo uchi, wao ndio waharibifu wa hii Dunia.

Si Bora useme hata Chato ni sehemu ya Mungu kuliko huko kwenye Kila aina ya uchafu
Yao ni watu binafsi wenye madhambi yao.
 
Na mataifa mengine yote ni ya shetani?

Ebu kuwa serious mkuu.
TAIFA Teule La Allah!
[emoji116][emoji116]
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ

(AL - BAQARA - 47)
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.
 
Ajaribu aone, ndipo atafutika mazima, na hivi ilivyo ndogo. Hakuna cha Samson Option, hana chochote wengine hawana ni wa kawaida sana, nyie ndio mnatetemeka eti Samson option, Samson Option ya kinyesi.
Sawa Maskhara Maskhara mbuzi kazaa na Mwanae!
Pambaneni to keep kwenye siege kwanza
 
Na mimi nimeshangaa sana eti hawajui mateka walipo na wamezingira mji? Mossad is overrated
 
Nimeamini Ashki majunun....
Hamas wako kwenye Mzingiro badala ya kuwapa Pole unawapaka Mafuta Kwa chupa[emoji15][emoji12]
 
Kwa sababu Hamas ni wachache kuliko IDF na pia hawana silaha kali kama IDF, lakini wana mbinu za kivita na morali ya vita kuliko IDF na hapo ndipo IDF inachezea.
Kama ndivyo ni wajinga wa Kawaida tu!
Ili ushinde Vita yeyote lazima Uwe na!;
1-Watu Wapii Andaliwa
2-Uchumi vumilivu
3-Silaha Bora
 
Hapo vikundi na nchi zote za kigaidi Wapo na Hamas hapo gaza
 
Kama ndivyo ni wajinga wa Kawaida tu!
Ili ushinde Vita yeyote lazima Uwe na!;
1-Watu Wapii Andaliwa
2-Uchumi vumilivu
3-Silaha Bora
Vietnam na Cuba hawakuwa na hivyo vyote ila walimtandika US. Its all about strategy and terrain it can be used to your advantage and thats what Hamas are doing...

Kasome Art of War ya Sun tzu
 
Taifa la Mungu huku wanaua watoto wadogo wasio na hatia? Kamwe haiwezekani kuwa Taifa la Mungu.
Mlaumu allah!
[emoji116][emoji116]
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ

(AL - BAQARA - 47)
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.
 
Iwapo Palestina wangetaka Amani kungekuwa na Amani ya Kumwaga Palestine. Iwapo Israel Ingetaka vita kusingekuwa na Palestina duniani!
 
Marekani ilishindwa kuitokomeza Taleban, je hiyo inamaana US amry ni dhaifu
 
We endelea kujidanganya unawaza ubwabwa wa msikitini kwenu israel ikitaka ww usivute pumzi ni sec tu wao wanayesu ww una bii wako issa
 
Vietnam na Cuba hawakuwa na hivyo vyote ila walimtandika US. Its all about strategy and terrain it can be used to your advantage and thats what Hamas are doing...

Kasome Art of War ya Sun tzu

Kuna Taratibu Gani ukishinda Vita??
Ili nifahamu Marekani Alishindwa Vita!
Una rejea zama za sun tzu, Jee! Kulikuwa na drone! Lazer wipons, hydrogen boms, sponge boms....??
 
Kuna Taratibu Gani ukishinda Vita??
Ili nifahamu Marekani Alishindwa Vita!
Una rejea zama za sun tzu, Jee! Kulikuwa na drone! Lazer wipons, hydrogen boms, sponge boms....??
Military objective inaposhindwa mfano US ilienda Cuba kumtoa Castro so failure to do so tunasema ni Military failure
 
Hivi na wewe unaamini kabisa ile vita ya siku 6 aliekua anapigana na waarabu alikua ni Israel?
Vita zote anazopigana myahudi USA na nchi za ulaya ndio wanasimamia show.
Hata hizo story za Mossad kina CIA ndio wanasimamia operations zote halafu sifa anapewa myahudi ili kuwatisha waarabu, na miarabu ilivyo mijinga na minafki hua inasalitiana yenyewe kwa wenyewe.
 
Mossad ni wazuri sana wa assassination na sio intelligence gathering (kukusanya taarifa).

Kwenye intelligence gathering wanaitegemea mno Marekani maana ina rasilimali kubwa na vyanzo vingi vya kupata taarifa jambo linalohitaji gharama.

Ila kwa hapo Gaza, Hamas wamefaulu kuwapiga chenga Mossad na Shinbet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…