Ubabe wa Israel Kijeshi

Ubabe wa Israel Kijeshi

Mbona unaandika kipuuzi hivi? Unaambiwa wameamua kuchagua njia nyepesi, unadhani wangeamua kuiteketeza gaza yote wanashindwa nini? By the way magaidi wataendelea kupata kifinyo tu. Halafu fahamu uwanja wa vita umebadilika sio kama zamani. Watu wanapigana vita vya aina tofauti ukiwahiwa inakula kwako. Magaidi nao wame advance kimedani katika kupigana vita na kujihami. We ulidhani kuwa na silaha kali ndio usitumie hovyo kummaliza adui yako?
Apia
 
Nchi zote hizo kisa Isis tu ?....hapana mkuu hicho kilikuwa kisingizio tu ila hiyo ilikuwa ni Vita ya chini kwa chini ya kudhibiti Syria baina ya hizo pande.


Mujahideen wa Afghanistan wa enzi za Vita baridi na Isis ni mambo mawili tofauti kabisa.

hao Mujahideen wa enzi za Vita baridi waliopewa silaha mwaka 1980 wanahusika vipi na kundi lilioanza mwaka 2015 huko Syria na Iraq ?..

Mnachanganya mambo.
Kwanza Iran ana jukumu kubwa kwenye kushindwa kwa Isis maana ndo iliwa zuia wapiganaji ya Is kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Baghdad maana jeshi la Iraq tiyari lilikuwa limesha zidiwa kabla wa wapiganaji wa kishia chini ya Iran kuingia front line.

Mkuu nadhani hujanielewa hakuna aliye sema kuwa IS na Mujahidina wana uhusiano au Isis ili anzishwa na Marekani.

Bali walisema kuwa chimbuko la Is limechangiwa na Marekani ni tokana na uvamizi wake dhidi Iraq ambao ulidhohofisha jeshi la Iraq na kuwafanya Isis kupata nafasi ya kujipanga na kufanya kile walicho kifanya.

Pia silaha za Marekani alizo sambaza kwa mujahidina ndo ziliwapa nguvu ya kufanya kile walicho kifanya na Isis ilizinunua silaha hizo kwa urahisi kutoka kwenye makundi mbali mbali kutoka Afghanistan.
 
Mungu yupi? Leo hii Israel wanasherehekea ndoa za jinsia Moja (pride month). Nenda YouTube utaona. Beach zao zimejaa watu wapo uchi, wao ndio waharibifu wa hii Dunia.

Si Bora useme hata Chato ni sehemu ya Mungu kuliko huko kwenye Kila aina ya uchafu
Yao ni watu binafsi wenye madhambi yao.
 
Na mataifa mengine yote ni ya shetani?

Ebu kuwa serious mkuu.
TAIFA Teule La Allah!
[emoji116][emoji116]
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ

(AL - BAQARA - 47)
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.
 
Ajaribu aone, ndipo atafutika mazima, na hivi ilivyo ndogo. Hakuna cha Samson Option, hana chochote wengine hawana ni wa kawaida sana, nyie ndio mnatetemeka eti Samson option, Samson Option ya kinyesi.
Sawa Maskhara Maskhara mbuzi kazaa na Mwanae!
Pambaneni to keep kwenye siege kwanza
 
mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.
Na mimi nimeshangaa sana eti hawajui mateka walipo na wamezingira mji? Mossad is overrated
 
Hamas mmoja ni sawa na wayahudi 10, ukitaka kuamini hilo inakuwaje nchi nzima ya Israel ina fail kuwakamata Hamas kwenye kaeneo sawa na wilaya? hata KIgamboni kubwa.

Kingine ni kwamba Hamas ndio wamesema tupe wafungwa 150 we tunakupa 50, Israel ilitaka wafungwa zaidi karibu wote Hamas inasema No!.
Nimeamini Ashki majunun....
Hamas wako kwenye Mzingiro badala ya kuwapa Pole unawapaka Mafuta Kwa chupa[emoji15][emoji12]
 
Kwa sababu Hamas ni wachache kuliko IDF na pia hawana silaha kali kama IDF, lakini wana mbinu za kivita na morali ya vita kuliko IDF na hapo ndipo IDF inachezea.
Kama ndivyo ni wajinga wa Kawaida tu!
Ili ushinde Vita yeyote lazima Uwe na!;
1-Watu Wapii Andaliwa
2-Uchumi vumilivu
3-Silaha Bora
 
Weww kweli unajitambua kweli Hamas hawana hata kombora la kutungulia ndege wana mabomu ya kienyeji tu hawaruhusiwi kuingiza chochote yaaani yale mabomu yao yanafumua vifaru vya dola milioni 3 wanatengeneza Tabata ya gaza kwa gharama ya dola 200 ndiyo maana dunia imeshangaa Israel ina kila aina silaha na msaada wa Marekani na Ulaya lakini wamekwama Gazza Sehemu ndogo kama Kigamboni miezi mitatu wameshindwa kukomboa mateka.
Hapo vikundi na nchi zote za kigaidi Wapo na Hamas hapo gaza
 
Kama ndivyo ni wajinga wa Kawaida tu!
Ili ushinde Vita yeyote lazima Uwe na!;
1-Watu Wapii Andaliwa
2-Uchumi vumilivu
3-Silaha Bora
Vietnam na Cuba hawakuwa na hivyo vyote ila walimtandika US. Its all about strategy and terrain it can be used to your advantage and thats what Hamas are doing...

Kasome Art of War ya Sun tzu
 
Taifa la Mungu huku wanaua watoto wadogo wasio na hatia? Kamwe haiwezekani kuwa Taifa la Mungu.
Mlaumu allah!
[emoji116][emoji116]
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ

(AL - BAQARA - 47)
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.
 
Mbona unaandika kipuuzi hivi? Unaambiwa wameamua kuchagua njia nyepesi, unadhani wangeamua kuiteketeza gaza yote wanashindwa nini? By the way magaidi wataendelea kupata kifinyo tu. Halafu fahamu uwanja wa vita umebadilika sio kama zamani. Watu wanapigana vita vya aina tofauti ukiwahiwa inakula kwako. Magaidi nao wame advance kimedani katika kupigana vita na kujihami. We ulidhani kuwa na silaha kali ndio usitumie hovyo kummaliza adui yako?
Iwapo Palestina wangetaka Amani kungekuwa na Amani ya Kumwaga Palestine. Iwapo Israel Ingetaka vita kusingekuwa na Palestina duniani!
 
Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂.

Hio six days war kashindwa kuidhihirisha pale Gaza, kaeneo km square 369, Kigamboni hio ina 578km square. Kuna vitu vinachekesha, nchi inapigana na wilaya hadi inaomba poo😂, ni aibu.

Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.

Wakajifanya kuingia Gaza kutafuta mateka kuionyesha dunia wao ni wababe, matokeo yake wamelambishwa mchanga hadi wakaomba mazungumzo. Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.

Israel ina propaganda sana, na katika watu wanajua kuji brand hilo nawasifu, wanajua kujisifu na kujipigia chapuo na kuaminisha wengine ambao ni vilaza, wakifanya kitu kidogo kelele kibao wakati kuna watu wanafanya vitu vya hatari kuliko.

Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?

Mmejipanga msururu na vifaru, magari ya deraya, airforce lakini mwishoni mmeishia kuua watu 14000 kati yao watoto ni nusu yake. Na raia wasio na hatia.

Yaani unaua vitoto karibu 7000 havijui chochote, ugaidi wa kutisha kabisa.

I bet Israel hata South Africa haiwezi pambana nayo, usiende Iran wala Korea huko atachapika apotee.

Israel imeonyesha uchovu wa hali ya juu, sasa wazee wa kazi Hezbollah wameingia kazini, hapo Netanyau lazima akubali tu, kwa sababu hadi sasa wananchi wanawatukana viongozi wao hawana akili.
Marekani ilishindwa kuitokomeza Taleban, je hiyo inamaana US amry ni dhaifu
 
We endelea kujidanganya unawaza ubwabwa wa msikitini kwenu israel ikitaka ww usivute pumzi ni sec tu wao wanayesu ww una bii wako issa
 
Vietnam na Cuba hawakuwa na hivyo vyote ila walimtandika US. Its all about strategy and terrain it can be used to your advantage and thats what Hamas are doing...

Kasome Art of War ya Sun tzu

Kuna Taratibu Gani ukishinda Vita??
Ili nifahamu Marekani Alishindwa Vita!
Una rejea zama za sun tzu, Jee! Kulikuwa na drone! Lazer wipons, hydrogen boms, sponge boms....??
 
Kuna Taratibu Gani ukishinda Vita??
Ili nifahamu Marekani Alishindwa Vita!
Una rejea zama za sun tzu, Jee! Kulikuwa na drone! Lazer wipons, hydrogen boms, sponge boms....??
Military objective inaposhindwa mfano US ilienda Cuba kumtoa Castro so failure to do so tunasema ni Military failure
 
Dunia imebadilika siku hizi sema mafan boys hawataki kukubali.
Yale madrone yaliyokuwa anayo marekna us na ufaransa na israel siki hizi iran, china, uturuki wanayafyatua kama mitoy yanawafikia hao mgambo pia.
Vitu vingi ambavyo zaman walikuwa wanavitumia kunyanyasa watu hata hao nao wanavyo so vita aliyopigana na waarab kipindi kole akawashinda ikipiganwa leo hawezi kutoboa
Hivi na wewe unaamini kabisa ile vita ya siku 6 aliekua anapigana na waarabu alikua ni Israel?
Vita zote anazopigana myahudi USA na nchi za ulaya ndio wanasimamia show.
Hata hizo story za Mossad kina CIA ndio wanasimamia operations zote halafu sifa anapewa myahudi ili kuwatisha waarabu, na miarabu ilivyo mijinga na minafki hua inasalitiana yenyewe kwa wenyewe.
 
Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.
Mossad ni wazuri sana wa assassination na sio intelligence gathering (kukusanya taarifa).

Kwenye intelligence gathering wanaitegemea mno Marekani maana ina rasilimali kubwa na vyanzo vingi vya kupata taarifa jambo linalohitaji gharama.

Ila kwa hapo Gaza, Hamas wamefaulu kuwapiga chenga Mossad na Shinbet.
 
Back
Top Bottom