Ubabe wa Israel Kijeshi

Ubabe wa Israel Kijeshi

Kipindi kile si unajua Uncle Sam alikuwa anampa silaha ,ndege na pesa awaandike waarabu, sasa US yenyewe sasa hivi watu wanaivimbia.

Unachosema ni kweli, Japan ilimnyanyasa China, leo iko wapi?
Sasa raia wa marekani wameshafunguka macho. Hawataki tena blind support kwa Israel. Wanataka misaada ya kijeshi isitishwe.

Mambo yameanza kubadilika sana marekani.
 
Muda utafika [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbuka Yahudi Ana Kiapo cha SAMSON OPTION....
Ajaribu aone, ndipo atafutika mazima, na hivi ilivyo ndogo. Hakuna cha Samson Option, hana chochote wengine hawana ni wa kawaida sana, nyie ndio mnatetemeka eti Samson option, Samson Option ya kinyesi.
 
Sio kweli, sikubaliani na ulichokiandika maana hakina uhalisia zaidi ya propaganda tupu.

Aliyeishinda Isis ni US na Western coalition yaani UK France, Belgium n.k kwa kushirikiana na wakurdi (YPG).

Mkuu nchi zilizo pigana na Isis ni nyinyi tu kuanzia Muungano ulio kuwa unaongozwa na Marekani ,Iran na Urusi mataifa hayo yana mchango mkubwa katika kuiangamiza Isis.

Muungano ulio ongozwa na Marekani ili kuwa unapambana na Isis kupitia mashambulizi ya anga huku ardhini kukiwa na wanajeshi wa Iraq na wanamgambo wa kishia wanao ungwa mkono na Iran na wana mgambo wa kikrudi wa nchini Syria hasa kwenye mji wa Raqaa.
Pia Iran ndo alikuwa nchi ya pili iliyo kuwa inasambaza silaha kwa serikali ya Iraq baada ya Marekani kwa ajili ya kupambana na Isis.

Upande mwingine Urusi kupitia mashambulizi ya anga huku ardhi wakishidiwa na Vikosi vya serikali ya Syria na wapiganaji wa wanao ungwa mkono na Iran wakiwemo Hizbulah walikomboa zaidi miji mingi kutoka kwa Isis.

Kuhusu chimbuko la Isis huyo jamaa unambishia bure kwa sababu hili analo lisema nimesha ona makala nyingi zinakili ya kuwa Marekani ilikuwa na jukumu kubwa katika kuibuka kundi la Isis kwa sababu asilimia 80 ya silaha walizo kuwa wanatumia Isis ni sillaha ambazo Marekani alizisambaza kwa mujahidina wa nchini Afghanistan miaka ya 1980.
 
Mtapiga story weee, halafu mwisho wa siku mnaenda kwenye uhalisia. Inakuwaje mateka mmoja wa Israel anabadirishwa na mateka watatu wa HAMAS? Mkubwa ni mkubwa tu. Yaani HAMAS watatu ni sawa na thamani ya Mwisrael mmoja. Aisee.
Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂.

Hio six days war kashindwa kuidhihirisha pale Gaza, kaeneo km square 369, Kigamboni hio ina 578km square. Kuna vitu vinachekesha, nchi inapigana na wilaya hadi inaomba poo😂, ni aibu.

Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.

Wakajifanya kuingia Gaza kutafuta mateka kuionyesha dunia wao ni wababe, matokeo yake wamelambishwa mchanga hadi wakaomba mazungumzo. Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.

Israel ina propaganda sana, na katika watu wanajua kuji brand hilo nawasifu, wanajua kujisifu na kujipigia chapuo na kuaminisha wengine ambao ni vilaza, wakifanya kitu kidogo kelele kibao wakati kuna watu wanafanya vitu vya hatari kuliko.

Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?

Mmejipanga msururu na vifaru, magari ya deraya, airforce lakini mwishoni mmeishia kuua watu 14000 kati yao watoto ni nusu yake. Na raia wasio na hatia.

Yaani unaua vitoto karibu 7000 havijui chochote, ugaidi wa kutisha kabisa.

I bet Israel hata South Africa haiwezi pambana nayo, usiende Iran wala Korea huko atachapika apotee.

Israel imeonyesha uchovu wa hali ya juu, sasa wazee wa kazi Hezbollah wameingia kazini, hapo Netanyau lazima akubali tu, kwa sababu hadi sasa wananchi wanawatukana viongozi wao hawana akili.
 
Mkuu nchi zilizo pigana na Isis ni nyinyi tu kuanzia Muungano ulio kuwa unaongozwa na Marekani ,Iran na Urusi mataifa hayo yana mchango mkubwa katika kuiangamiza Isis.

Muungano ulio ongozwa na Marekani ili kuwa unapambana na Isis kupitia mashambulizi ya anga huku ardhini kukiwa na wanajeshi wa Iraq na wanamgambo wa kishia wanao ungwa mkono na Iran na wana mgambo wa kikrudi wa nchini Syria hasa kwenye mji wa Raqaa.
Pia Iran ndo alikuwa nchi ya pili iliyo kuwa inasambaza silaha kwa serikali ya Iraq baada ya Marekani kwa ajili ya kupambana na Isis.

Upande mwingine Urusi kupitia mashambulizi ya anga huku ardhi wakishidiwa na Vikosi vya serikali ya Syria na wapiganaji wa wanao ungwa mkono na Iran wakiwemo Hizbulah walikomboa zaidi miji mingi kutoka kwa Isis.

Kuhusu chimbuko la Isis huyo jamaa unambishia bure kwa sababu hili analo lisema nimesha ona makala nyingi zinakili ya kuwa Marekani ilikuwa na jukumu kubwa katika kuibuka kundi la Isis kwa sababu asilimia 80 ya silaha walizo kuwa wanatumia Isis ni sillaha ambazo Marekani alizisambaza kwa mujahidina wa nchini Afghanistan miaka ya 1980.
Achana nae huyo jamaa, mi kubishana siwezi wakati documentaries na maandiko yapo mitandaoni .
 
Mtapiga story weee, halafu mwisho wa siku mnaenda kwenye uhalisia. Inakuwaje mateka mmoja wa Israel anabadirishwa na mateka watatu wa HAMAS? Mkubwa ni mkubwa tu. Yaani HAMAS watatu ni sawa na thamani ya Mwisrael mmoja. Aisee.
Hamas mmoja ni sawa na wayahudi 10, ukitaka kuamini hilo inakuwaje nchi nzima ya Israel ina fail kuwakamata Hamas kwenye kaeneo sawa na wilaya? hata KIgamboni kubwa.

Kingine ni kwamba Hamas ndio wamesema tupe wafungwa 150 we tunakupa 50, Israel ilitaka wafungwa zaidi karibu wote Hamas inasema No!.
 
Wawashukuru Qatar ndiyo wamewabembeleza Hamas walikuwa wamekata kuwaachia mateka yule Waziri wa Ulinzi mikwara kibao no water no food no electricity[emoji23]

Halafu wanaingia usiku na vifaru kiza Gaza wamechezea kichapo wanasema hawafahamu Hamas wanatokea wapi.
Kama hamas wana uwezo wa kupigana na Israel kwanini vita haijahamia kwenye ardhi ya Israel kwanini Gaza ndio inateketea kama kweli nyie ni wababe na ndio mnapanga nini kifanyike au kisifanyike.
 
Kama hamas wana uwezo wa kupigana na Israel kwanini vita haijahamia kwenye ardhi ya Israel kwanini Gaza ndio inateketea kama kweli nyie ni wababe na ndio mnapanga nini kifanyike au kisifanyike.
Kwa sababu Hamas ni wachache kuliko IDF na pia hawana silaha kali kama IDF, lakini wana mbinu za kivita na morali ya vita kuliko IDF na hapo ndipo IDF inachezea.
 
Kama hamas wana uwezo wa kupigana na Israel kwanini vita haijahamia kwenye ardhi ya Israel kwanini Gaza ndio inateketea kama kweli nyie ni wababe na ndio mnapanga nini kifanyike au kisifanyike.
Weww kweli unajitambua kweli Hamas hawana hata kombora la kutungulia ndege wana mabomu ya kienyeji tu hawaruhusiwi kuingiza chochote yaaani yale mabomu yao yanafumua vifaru vya dola milioni 3 wanatengeneza Tabata ya gaza kwa gharama ya dola 200 ndiyo maana dunia imeshangaa Israel ina kila aina silaha na msaada wa Marekani na Ulaya lakini wamekwama Gazza Sehemu ndogo kama Kigamboni miezi mitatu wameshindwa kukomboa mateka.
 
Mbona unaandika kipuuzi hivi? Unaambiwa wameamua kuchagua njia nyepesi, unadhani wangeamua kuiteketeza gaza yote wanashindwa nini? By the way magaidi wataendelea kupata kifinyo tu. Halafu fahamu uwanja wa vita umebadilika sio kama zamani. Watu wanapigana vita vya aina tofauti ukiwahiwa inakula kwako. Magaidi nao wame advance kimedani katika kupigana vita na kujihami. We ulidhani kuwa na silaha kali ndio usitumie hovyo kummaliza adui yako?
 
Mkuu nchi zilizo pigana na Isis ni nyinyi tu kuanzia Muungano ulio kuwa unaongozwa na Marekani ,Iran na Urusi mataifa hayo yana mchango mkubwa katika kuiangamiza Isis.
Nchi zote hizo kisa Isis tu ?....hapana mkuu hicho kilikuwa kisingizio tu ila hiyo ilikuwa ni Vita ya chini kwa chini ya kudhibiti Syria baina ya hizo pande.

Kuhusu chimbuko la Isis huyo jamaa unambishia bure kwa sababu hili analo lisema nimesha ona makala nyingi zinakili ya kuwa Marekani ilikuwa na jukumu kubwa katika kuibuka kundi la Isis kwa sababu asilimia 80 ya silaha walizo kuwa wanatumia Isis ni sillaha ambazo Marekani alizisambaza kwa mujahidina wa nchini Afghanistan miaka ya 1980.
Mujahideen wa Afghanistan wa enzi za Vita baridi na Isis ni mambo mawili tofauti kabisa.

hao Mujahideen wa enzi za Vita baridi waliopewa silaha mwaka 1980 wanahusika vipi na kundi lilioanza mwaka 2015 huko Syria na Iraq ?..

Mnachanganya mambo.
 
Tuseme Ukweli bila kukaa upande. Operation iron sword. IMEFELI.
Kibaya zaidi Mossad also FAILED
Imekuwa aibu kwa sababu hao anaopigana nao wanapewa silaha na intelligent kadhaa na zingine local made. AIBU.
Bad enough. Ndetanyahu(a.k.a bibi) politically FAILED na kuna uwezekano wa kitemwa.
Nilichokuja kugundua ni tangu vita ya Ukraine na Russia ni MEDIA PROPAGANDA mara USA anakuona popote huu ni UJINGA inshort HANIONI labda niamue anione.
Mara kuna hackers ni UPUUZI unakuwa hacked kama uko kwenye mfumo wao.
Nilijua zipo satellite zinaweza kuzoom location na kufuatilia nyenzo kumbe BURE.
Lastly YAHWE ni Mungu Mwokozi na UPENDO. TUSIUANE. Ma Yesuah ni Bwana
 
Israeli ni Taifa La Mungu kama hutaki kumywa sumu
Mungu yupi? Leo hii Israel wanasherehekea ndoa za jinsia Moja (pride month). Nenda YouTube utaona. Beach zao zimejaa watu wapo uchi, wao ndio waharibifu wa hii Dunia.

Si Bora useme hata Chato ni sehemu ya Mungu kuliko huko kwenye Kila aina ya uchafu
 
Back
Top Bottom