Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
House maid sina pesa za kumlipa, nataka mke wa kusaidiana nae chores zote....
Weka vigezo vyako na unayemuhitaji sasa
Ama unataka yoyote anayejua kufua na kupika mboga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
House maid sina pesa za kumlipa, nataka mke wa kusaidiana nae chores zote....
All the best.Natafuta mke wa kusaidiana kazi zote hizo....
Unataka mke au dada wa kukusaidia usafi ?Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ebana eee ubachelor noma Sana, kilichonikuta Leo siwezi kumaliza mwaka na ubachelor.
Leo nimeamka asubuhi Mimi ni mikazi tu, mikazi na Mimi, nimeamka mapema kuanza kufua nguo chafu za week mbili na nusu [emoji2], sijamaliza nikaanza kuandaa mboga ya mchana mara nikaandaa kifungua kinywa ile narudi kuendelea kufua mboga ya mchana imeiva kazi ya kuiunga [emoji87] mboga imeiva nikaandaa na msosi wa mchana huku kufua kunanisubiri [emoji80] narudi kumalizia kufua vyombo vya jana vyote vichafu kazi ikaanza ya kuviosha ile namaliza toi sio safi kabisa nikahamia toi kuweka mazingira sawia ahhh!
Nimemaliza usafi wa toi usafi wa geto ukanihusu ahhh hapa nipo hoii.
Ebana humu watoto wazuri wanaotaka kuolewa wapo eee, basi watoto wazuri tuonane DM asee tuyajenge mana nishaanza kuwa wife material...[emoji35]
Bango Limekaa Seriouly!
Dini?Vigezo must....
Miaka: 22-25 ikizidi sio mbaya ilimradi anishawishi Tu
Urefu: Kawaida
Rangi: Yoyote
Kiufupi unatafuta housegirl
Ulitisha aseeeeeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
House maid sina pesa za kumlipa, nataka mke wa kusaidiana nae chores zote....
Aisee hahaha[emoji1] kwanini nifiche mzee, nina ungo yah nakula wali often kwanini nisiwe na ungo....[emoji44]
Wewe ni mwema ?Mke mwema...[emoji3166]
Khaa!! Huna pesa ya kumlipa House Maid, kwahio unataka mtu wa kukufanyia kazi za ndani bure kwa kisingizio cha ndoa [emoji23][emoji23]
Wanawake tunafanya huo usafi kwa mapenzi yetu na huruma yetu sio kwamba ni SHERIA eti tunaolewa ili kua house girl wako Eboh!!!