Ubachelor unaboa sanaaa!

Ubachelor unaboa sanaaa!

Bachela sugu nipo

Hapa nimetoka kazini nimepika Wali mchafu na nyama za kurosti toka kwenye friji

Hii ni mahesabu ya siku 2 yaani kesho kazi yangu ni kupasha tu viporo vya mboga na huu wali mchafu

Sipendi kula viporo Ila Sina namna [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
👏👏 Bora wewe
 
[emoji851] Una muda gani ndani ya ubachelor mzee mpaka ukapewa cheo cha usugu ktk ubachelor.....
Bachela sugu nipo

Hapa nimetoka kazini nimepika Wali mchafu na nyama za kurosti toka kwenye friji

Hii ni mahesabu ya siku 2 yaani kesho kazi yangu ni kupasha tu viporo vya mboga na huu wali mchafu

Sipendi kula viporo Ila Sina namna [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bachela sugu nipo

Hapa nimetoka kazini nimepika Wali mchafu na nyama za kurosti toka kwenye friji

Hii ni mahesabu ya siku 2 yaani kesho kazi yangu ni kupasha tu viporo vya mboga na huu wali mchafu

Sipendi kula viporo Ila Sina namna [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah jamani
 
kazii nyingine zakujitakia mtoto wakiume tena bachela unaunga mboga kweli😂😂

weweunaweza kua hata na ungo geto kwako 😂😂
🤣🤣🤣🤣Kwahiyo bachela anatakiwa kula mchemsho sio?
 
Swali zuri chief...
kuwa bachelor sio lazima kula ovyo au kula migahawani kila siku.....
 
🤣🤣🤣🤣Kwahiyo bachela anatakiwa kula mchemsho sio?
mchemsho unachemshia wapi na jiko huna😂😂😂
yan unakuta bachela ana mwiko ndani sijui anatumia kuchomekea shati au
 
Back
Top Bottom