Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa kigezo cha vyama badala ya uwezo wa kibiashara. Leo hii ni deni hili linalowalemea Wananchi.
Ccm walipe deni hili na watoke hadharani kueleza namna watakavyo lipa deni hili na kamwe wasikwepe lawama hii.
Ccm walipe deni hili na watoke hadharani kueleza namna watakavyo lipa deni hili na kamwe wasikwepe lawama hii.