farasi6453
Senior Member
- Sep 26, 2022
- 100
- 101
Na mimi nishakutana na hiyo kitu. Wakati na file VAT Return ya mwezi wa Sept nakuta risiti mbili za EFD safi kabisa ya mwenye duka mmoja tu huyo haionekana katika manunuzi zangu katika mfumo wa TRA. Nikaingia kwenye tovuti ya TRA kuhakiki risiti hizi bila mafanikio. Niliingiza data vizuri pamoja na mda ilipotoka risiti lakini wapi.
Hii mitambo aidha imetelekezwa au baadhi watu wana uwezo wa kuwa disconnected kwenye mfumo wa TRA.
Pia huenda ile jamaa anayeingiza millioni 7 kwa sekunde amepata mrithi wake!
Hii mitambo aidha imetelekezwa au baadhi watu wana uwezo wa kuwa disconnected kwenye mfumo wa TRA.
Pia huenda ile jamaa anayeingiza millioni 7 kwa sekunde amepata mrithi wake!