mkuu mifano yako inanichekesha alafu inanifanya nijiulize uko sawa kweli mzee wangu.
yaani jamaa kazi yake iwe kupokea tu mambo ya ufatiaji watajijua duuuh
Au kama wanavyopanga kuchota hela za JijiKwa hiyo unataka kusema mzigo umechukuliwa na CCM kama walivyotaka kuchukua zile USD 500 Milion za elimu kutoka WB? Zitto Kabwe njoo huku!!
Nafikiri hii ni komenti mbovu kabisa kutokea tangu mwaka huu kuanza
Nimesoma hiyo report na hicho ndicho ninachokizungumza, MFA ni recever na ku disburse kule zinalokwenda kutumiwa na end user na kusubiri report ya matumizi. Kunapotokea matatatizo katika utekelezaji, sio matatizo ya fund receiver but ni kule kwenye utekelezaji kwa recipients. Nakuuliza tena wewe baada ya kutoa fedha za matumizi ya nyumbani kwa mkeo, huwa unakwenda jikoni kuthibitisha vitu vimenunuliwa na ni kiasi gani?. Ni mpaka uletewe ripoti.Ndugu acha kujitia aibu
Soma hii pia
28-01-2020
Audits & Investigations
The Global Fund is committed to transparency and accountability to show stakeholders it is making effective use of the funds with which it is entrusted. Below are the audit and investigation reports published by the Office of the Inspector General.www.theglobalfund.org
CAG ni mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa fedha za serikali. Bajeti ikiishapitishwa na Bunge, CAG ndie anayeidhinisha zile votes kutoka mfuko mkuu wa hazina kwa ajili ya matumizi yaliyoidhinishwa na Bunge. Na baada ya matumizi CAG anapita kukagua kama zilitumiwa kama zilivyokusudiwa, na kutoa ile Ripoti ya CAG.Je kazi ya CAG ni nini?
Mimi sio mtetezi wa serikali bali mimi siku zote ni mkweli Daima.Naona siku hizi umekuwa mtetezi wa serikali kama ndugai
Taratibu za fedha za serikali zinafahamika, fedha zinapotolewa kwa malengo mahsus haswa hizi fedha za wafadhili zinakuwa "ring fenced" huwezi kuzibadilishia matumizi. Fedha unazoweza kuzibadili matumizi ni fedha za mfuko Mkuu wa hazina na kuna utaratibu wake.Leo pesa zikitolewa kwa ajili ya madawati, ukazitumia kuwekea milango ya madarasa tayari ni matumizi mabaya.
Hivyo yy kama Waziri ilipaswa kujua je pesa zimefanya kazi kusudiwa* ama LA na yy ni mmojawapo waliozipeleka katika matumizi yasiyo sahihi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamsaidiaje akitumbua? Mtu alishapiga bilioni yake moja na mijengo na miradi yake mingine ya kumuingizia kipato ikisimamiwa na mkewe ati unamtumbua! Hapo humtumbui Bali umempa nafasi akazile pesa zake kwa nafasi tena bila amri na masharti!Ndiyo maana JPM hana mswalie mume na Watumishi wa Umma. Anatumbua tu
Ndio maana kuna wanaoogopa zile za elimu zisije kipindi hiki cha uchaguzi.Pascal don’t loose your head
Dr Mpango alijua mapema kuwa Watu wamechapa dola 400,000.00 au zimehamishiwa sehemu nyingine kwa matumizi .Ndio mana akatamka siku ya kupokea msaada. Alichotakiwa ni kutoa taarifa hatua gani zimechukuliwa. Ndio maaana wafadhili wana anza kuchomoa