Najua Rais wapangaji, lakini kwa hili kama anayehusika ni Waziri wa Afyà basi tuone hatua zikichukuliwa kama zilivyochukuliwa kwa KANGI LUGOLA. Isitoshe Kangi Lugora yeye mkataba aliosaini bado haujakuwa executed kwa hiyo madhara ni madogo. Huyu wa Afya tayari USD 400,000 zimepigwa bado yuko ofsini.Ndio, ila amekumbushwa as kumekuwa na reports kabla za auditing. Wamewapa na wasipotekeleza kutafuta waliofisadi ndio bye bye hiyo.
Waziri wa Afya yupo Responsible na kilichotokea.
Ni vigumu kuondoa tatizo ikiwa hujashughulikia chanzo cha tatizo.Hivi serikalini kuna watu wengine watu walisomea kuiba? Mbona watu wizi, rushwa na ubadhilifu haukomi?
Nchi hii ni tajiri, tunajitosheleza kwa kila kitu msitubabaishe bana.Tanzania and Global Fund Sign New Grants to Accelerate End of Epidemics
The Global Fund and health partners in Tanzania yesterday signed grant agreements to work toward ending the epidemics of HIV, tuberculosis and malaria.www.theglobalfund.org
Umesahau nafasi ya Dr Abbas haijapata mbadala badoNaona siku hizi umekuwa mtetezi wa serikali kama ndugai
Hayo nayo siyo matumizi yenye tija kuwekeza kwenye miundo mbinu bila kufanya upembuzi yakinifu.
Ethiopia ina madaraja na mabarabara bora na treni za SGR ĺakni watu wake ni maskini wa kunuka. Wengi tunawaona wakiwa wameshikwa au wamekufa kwenye malori wakiwa njiani kwenda South Africa.