Mkuu The Seal, ukiondoa awamu ya Nyerere iliyotupatia uhuru, awamu zote zilizofuatia zilikuwa ni awamu za upigaji, Deep Green, Meremeta, Tan Gold, DCP, Radar, EPA, Escrow, etc,Pascal pls for heavens sake STOP defending magufuli and his gangsters, hii ndio awamu ambayo imeiba hela nyingi kuliko awamu zote COMBINED
Naunga mkono hoja, kuna tatizo katika mifumo ya utekelezaji na usinamizi na it's not necessarily wizi but ni data entries kama tuu zile 1.5 Billions ambazo CAG hakuziona ziko wapi sio lazima kuwa zimepigwa.Kama ambavyo donor atahitaji report ya matumizi ya mtonyo aliokupeni, au atafanya aina fulani ya auditing kuhakikisha kweli tonyo lililotolewa limefanya haswa kazi husika, ndivyo ambavyo wao kama wizara wanatakiwa kua wanafanya kaguzi za nmna hiyo, sio hadi kukumbushwa na donor. Siku wakisusa hawa kisa pesa zinatumika vibaya tutakua wageni wa nani sisi.
Huu ndio ukweli, mengine yote ugolo. Ni kweli serikali yetu inaiba pesa za wafadhili, kwa kuchepusha pesa kutoka kwenye matumizi waliyoelekeza wafadhili na kupelekwa kwingine ambako siasa ita-play role vizuri kama barabara, reli, Vivuko na Kununua wanasiasa.Mwaka wa uchaguzi huu, nyingine wanaiba hao hao wanaopewa kuzilinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee..Naunga mkono hoja, kuna tatizo katika mifumo ya utekelezaji na usinamizi na it's not necessarily wizi but ni data entries kama tuu zile 1.5 Billions ambazo CAG hakuziona ziko wapi sio lazima kuwa zimepigwa.
P
Bajeti ya sekta ya Afya inafadhiliwa na na mataifa ya Ulaya na America kwa takriban 80%. Yaani kwa kila Shillingi inayotumika kutibu binadamu Tanzania, Senti 80 imaletwa na wafadhili kwenye dawa za ukimwi, malaria, Kifua Kikuu, Uzazi wa Mpango, Chanjo za watoto na magonjwa yaliyo sahauliwa.
Unashangaa nchi tegemezi kama hii, wafadhili hao hao wakiuliza kuhusu utawala bora tunawaita mabeberu.
Pamoja na kujitapa wanapambana na ufisadi na majizi watumishi wanapiga dili tu kama kawa.aibu mahakama ya mafisadi imelala usingizi wa pono.yanayotendeka sawa na baba kuwa mkali home ili mke,watoto wasimuaibishe anapoiba mayai