Mohamed AboodCc. Mohammed Raza.
Ibrahim Raza
Salim Turki
Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.

Wao MACHOTARA sisi WAAFRIKA..............CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWao Watanganyika sisi Wazanzibar,
Wao Wazanzibara sisi Wazanzibar,
Wao Wapemba sisi Waunguja.
Dhambi ya ubaguzi itaendelea kuwatafuna.
Kila la heri Wazanzibari
Nashukru nilikaa huko,ukweli unauma lakini wanayoyafanya vijana wa Zanzibar hasa CCM ni hali yao ya ukosefu wa elimu. Lakini kinachoniachaga hoi bila jibu ni kuwa; asilimia zaidi ya 90% Wazanzibar ni waislamu,wanasali pamoja na mafundisho yao kiimani ni mamoja. Unashangaa hili bango!!? Zanzibar ukiwa na kichwa cha chogo hata kama ni mmakonde utaitwa Mpemba na unaweza kupatwa hata na mkong'oto kutoka kwa vijana wa CCM wakifikiri ni mpemba.
Mohammed Said usiwe mnafiki.
Wewe ni mmoja wa watu humu mtandaoni mlioendeleza ubaguzi, kwako ulikuwa wa kidini.
Mwalimu aliwaonya, na sasa utabiri wake unatimia.
Mwalimu alisema,
"Zanzibar ikianza kujibagua toka Bara hawatabaki salama maana slama ya Zanzibar ni umoja na Bara.
Wakiisha kuwabagua Bara watakuwa wamefanya dhambi kama wachawi wanaokuka nyama ya watu.
Ulila nyama ya mtu utaendelea kula nyama ya mtu.
Mwalimu aliendelea kuwa, baadaye Wazanzibari wataendeleza dhambi ile ile ya ubaguxi na kugundua kua Zanzibar kuna Wazanzibari na Wazanzibara, na kuna Wapemba na Waunguja, hawatabaki salama hata kidogo"
Leo Mohammed Said, ukiwa mtu mzima mwenye akili yako washangaa nini, umeuendekeza sana ubaguzi wa kidini na makala zako za kuwa sifia na kuwaenzi "wazazi wako waislamu" humu mtandaoni, kwamba ndo walileta uhuru.
Ulihusika moja kwa moja kupanda mbegu za chuki katika jamii.
Zanzibar walipoanza na sera za kujibagua, ili wapate kujitambulisha nani ni mzanzibari(kwa kuwabagua wabara) sikuwahi kuona makala zako za kuonya juu ya ubaguzi huu.
Wengi tulilaumu hili, lakini kwa vile wazanzibari kupitia Baraza La Wawilishi, ndo liliendeleza ubaguzi huu hadi kufikia hatua ya kumpiga mrufuku ya kukanyaga Zanzibara Waziri Mkuu Pinda, wengi walishangaa ubaguzi na umoja wa kibaguzi wa wazanzibari.
Lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuonya juu ya hili.
Leo mbele ya kadamnasi u Hizbu na u ASP unaonyeshwa hadharani- tofauti zilizokuwepo hata kabla ya uhuru.
Halafu mtu mwenye akili unailaumu CCM.
HUU NI UNAFIKI MKUBWA.
Mnavuna mlichopanda, na Mwalimu was right, salama ya Zanzibar ni Tanganyika.
"Zanzibar ikianza kujibagua toka bara hawatabaki salama,maana salama ya Zanzibar ni umoja na Bara" Mkuu umeweka vitu ambavyo wachangiaji wengi wameshindwa kuviona au wanaviona lakini wanavifumbia macho na kuishia kuilaumu CCM.Ni mfano wa mtu anayelia na alipoangukia bila ya kujiuliza alijikwaa wapi.Mohammed Said usiwe mnafiki.
Wewe ni mmoja wa watu humu mtandaoni mlioendeleza ubaguzi, kwako ulikuwa wa kidini.
Mwalimu aliwaonya, na sasa utabiri wake unatimia.
Mwalimu alisema,
"Zanzibar ikianza kujibagua toka Bara hawatabaki salama maana slama ya Zanzibar ni umoja na Bara.
Wakiisha kuwabagua Bara watakuwa wamefanya dhambi kama wachawi wanaokuka nyama ya watu.
Ulila nyama ya mtu utaendelea kula nyama ya mtu.
Mwalimu aliendelea kuwa, baadaye Wazanzibari wataendeleza dhambi ile ile ya ubaguxi na kugundua kua Zanzibar kuna Wazanzibari na Wazanzibara, na kuna Wapemba na Waunguja, hawatabaki salama hata kidogo"
Leo Mohammed Said, ukiwa mtu mzima mwenye akili yako washangaa nini, umeuendekeza sana ubaguzi wa kidini na makala zako za kuwa sifia na kuwaenzi "wazazi wako waislamu" humu mtandaoni, kwamba ndo walileta uhuru.
Ulihusika moja kwa moja kupanda mbegu za chuki katika jamii.
Zanzibar walipoanza na sera za kujibagua, ili wapate kujitambulisha nani ni mzanzibari(kwa kuwabagua wabara) sikuwahi kuona makala zako za kuonya juu ya ubaguzi huu.
Wengi tulilaumu hili, lakini kwa vile wazanzibari kupitia Baraza La Wawilishi, ndo liliendeleza ubaguzi huu hadi kufikia hatua ya kumpiga mrufuku ya kukanyaga Zanzibara Waziri Mkuu Pinda, wengi walishangaa ubaguzi na umoja wa kibaguzi wa wazanzibari.
Lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuonya juu ya hili.
Leo mbele ya kadamnasi u Hizbu na u ASP unaonyeshwa hadharani- tofauti zilizokuwepo hata kabla ya uhuru.
Halafu mtu mwenye akili unailaumu CCM.
HUU NI UNAFIKI MKUBWA.
Mnavuna mlichopanda, na Mwalimu was right, salama ya Zanzibar ni Tanganyika.
Jidu La Mabambasi,Kweli huyu Mohammed Said ni mnafiki sana.
Leo anapata wapi moyo wa kum quote Mwalimu Nyerere wa " mfumo Kristo" kama alivyo andika mara kadhaa kwenye nakala zake?
Unafiki wa kibaguzi unawamaliza wazanzibari.
Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.
Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.
Si pekeyake huyo na balozi Ali karume nae chotara na. Mahamud thabit kombo na wengi machotara hahaha kweli ccm waogopwe kama ukomaVery good. Ujumbe huo wa Kikaburu umfikie MOHAMMED ABOUD MOHAMMED ambaye yumo ndani ya ccm na kutumiliwa vbaya na ccm kwa kuwakilisha machotara wenzake wote waliomo kwenye ccm. Hongereni vijana wa ccm kwa ujumbe mzuri sasa wale machotara wote waliomo ndani ya ccm waanze kujitambua kuwa ukiwa ndani ya ccm kama ni chotara ni chotara tu hata ujipendekeze vp ww ni chotara tu kwaiyo hutokuwa na maana yoyote.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Picha hiyo hapo juu ni bango la Kikaburu katika mwaka wa 2016 bango linalotukuza ubaguzi wa rangi.
Sitaki kuamini kama Ali Mohamed Sheni na uongozi wa juu wa CCM Zanzibar wamewatuma vijana hawa kufanya haya.
Akili yangu inanikatalia kabisa.
Sitaki kuamini kuwa tumeanza kuwatengeza akina Hendrik Verwoerd na Eugene Terre Blanche weusi katika visiwa vya Zanzibar.
CCM Zanzibar inamuiga nani katika hili?
Hitler na Manazi walikuwa na vijana wao waliojulikana kama Stormtroopers ukipenda waite Brown Shirts?
Zanzibar tumeshawashuhudia Ton Ton Macout mfano wa wale wa Papa Doc wa Haiti visiwani wanajulikana kama Mazombie.
Sasa tumefungua ukurasa mwingine wa Adolf Eichman.
Hilo bango mbona litawagusa wengi katika safu ya uongozi wa siasa katika Zanzibar na wengine walipatapo hata kuiongoza nchi?
Machotara?
Nani huyu chotara?
Tumehama kwa Waarabu sasa tuko kwa Machotara!
Lakini huyo chotara si ana wajomba, babu, bibi na mama wakubwa na wadogo Waafrika?
CCM imefilisika kiasi hiki?
Nini hiki ni kiwewe cha CCM kushindwa uchaguzi au ni kitu gani?
Nini khasa tafsiri ya mambo haya?
Tusubiri In Sha Allah wakati utatupa jibu.
Kasema Mwalimu Nyerere karne ya ishirini na moja kuna watu wanapanda basi la ukabila...
Hawa wanapanda jahazi la ugozi.
Hivi ni kweli haya yanatokea karne hii ya 21.