chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Anayejua maana ya hizbu tafadhali atusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee!! Wanaume je?Kama machotara wanatengwa basi ni wakati mzuri wa kuwaoa na kuwaleta bara. Hawatakuwa na nyodo tena, twendeni tukaoe hao machotara.
Mimi si chotara na ni Mwafrika halisi zaidi ya kwako wewe. Lakini siwezi kuvumilia bitendo vya ubaguzi kwa sababu ya ukabila, rangi, utaifa, dini, imani, jinsia, ulemavu. No wayHaya ni zamu ya machotara sasa kuchezewa hiyo michezzo ya kizanzibar hivyo msianze kupiga kelele.
Usitafute mchawi Ubaguzi ni moja katika Sera za Chama Cha mapinduzi
Nimekumbuka ccm na watu wa kasikazini sasa wamehamia zanzibar za mwizi 40 hazipo mbali!?
Kila siku UKAWA mnawaandama wahindi kuhusu kuishi kwao kwenye nyumba za NHC...Leo ndio mnajifanya kuwatetea!?
YAMEWADIA!Kwakweli inasikitisha sana kuona kwamba Watanzania wenye asili ya Asia hawana haki ya kuongoza ndani ya taifa hili.
Me nnamini hawa vijana hata TANGANYIKA HAWAJAWAH KUFIKA