Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi ya kwanza ni ile katiba yao iliyoibagua Tanganyika kiharamu kabisa, wakajiona "wao wazanzibar, sasa wameanza kushtuka kuwa kuna waarabu/machotara (wazanzibara na wazanzibari)" Dhambi ya ubaguzi haifi, itawatafuna mpaka watakapofumbua macho yao..!Maalim seifu hawezi hata kutangaza dukuduku lake zanzibar, anakuja serena hotel.. kuwambia nani habari za znz??:?![]()
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Picha hiyo hapo juu ni bango la Kikaburu katika mwaka wa 2016 bango linalotukuza ubaguzi wa rangi.
![]()
Sitaki kuamini kama Ali Mohamed Sheni na uongozi wa juu wa CCM Zanzibar wamewatuma vijana hawa kufanya haya.
Akili yangu inanikatalia kabisa.
Sitaki kuamini kuwa tumeanza kuwatengeza akina Hendrik Verwoerd na Eugene Terre Blanche weusi katika visiwa vya Zanzibar.
CCM Zanzibar inamuiga nani katika hili?
Hitler na Manazi walikuwa na vijana wao waliojulikana kama Stormtroopers ukipenda waite Brown Shirts?
Zanzibar tumeshawashuhudia Ton Ton Macout mfano wa wale wa Papa Doc wa Haiti visiwani wanajulikana kama Mazombie.
Sasa tumefungua ukurasa mwingine wa Adolf Eichman.
Hilo bango mbona litawagusa wengi katika safu ya uongozi wa siasa katika Zanzibar na wengine walipatapo hata kuiongoza nchi?
Machotara?
Nani huyu chotara?
Tumehama kwa Waarabu sasa tuko kwa Machotara!
Lakini huyo chotara si ana wajomba, babu, bibi na mama wakubwa na wadogo Waafrika?
CCM imefilisika kiasi hiki?
Nini hiki ni kiwewe cha CCM kushindwa uchaguzi au ni kitu gani?
Nini khasa tafsiri ya mambo haya?
Tusubiri In Sha Allah wakati utatupa jibu.
Kasema Mwalimu Nyerere karne ya ishirini na moja kuna watu wanapanda basi la ukabila...
Hawa wanapanda jahazi la ugozi.
Ubaguzi walianza wao, kwa kuibagua Tanganyika. Magufuli hatakiwi kusuluhisha mgogoro wa znz anatakiwa awaache waliondaa katiba baguzi ya znz watatue mtafaruku. Znz ni nchi au umesahau....???hapo msimtegemei Makufuli kuleta muafaka,hapo tegemeeni Makufuli kuzidisha mtafaruku kwa kuwa upande wa ccm na ndio mtakubaliana nami kwamba, Makufuli hana ubavu wa kuongoza nchi hii kwa haki
ICC kama naiona asee nlikua siamini sasa nmeona![]()
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Picha hiyo hapo juu ni bango la Kikaburu katika mwaka wa 2016 bango linalotukuza ubaguzi wa rangi.
![]()
Sitaki kuamini kama Ali Mohamed Sheni na uongozi wa juu wa CCM Zanzibar wamewatuma vijana hawa kufanya haya.
Akili yangu inanikatalia kabisa.
Sitaki kuamini kuwa tumeanza kuwatengeza akina Hendrik Verwoerd na Eugene Terre Blanche weusi katika visiwa vya Zanzibar.
CCM Zanzibar inamuiga nani katika hili?
Hitler na Manazi walikuwa na vijana wao waliojulikana kama Stormtroopers ukipenda waite Brown Shirts?
Zanzibar tumeshawashuhudia Ton Ton Macout mfano wa wale wa Papa Doc wa Haiti visiwani wanajulikana kama Mazombie.
Sasa tumefungua ukurasa mwingine wa Adolf Eichman.
Hilo bango mbona litawagusa wengi katika safu ya uongozi wa siasa katika Zanzibar na wengine walipatapo hata kuiongoza nchi?
Machotara?
Nani huyu chotara?
Tumehama kwa Waarabu sasa tuko kwa Machotara!
Lakini huyo chotara si ana wajomba, babu, bibi na mama wakubwa na wadogo Waafrika?
CCM imefilisika kiasi hiki?
Nini hiki ni kiwewe cha CCM kushindwa uchaguzi au ni kitu gani?
Nini khasa tafsiri ya mambo haya?
Tusubiri In Sha Allah wakati utatupa jibu.
Kasema Mwalimu Nyerere karne ya ishirini na moja kuna watu wanapanda basi la ukabila...
Hawa wanapanda jahazi la ugozi.
Hujajadili hoja umejadili mtu rudi ujisahihishe ndipo uandikeMohammed Said usiwe mnafiki.
Wewe ni mmoja wa watu humu mtandaoni mlioendeleza ubaguzi, kwako ulikuwa wa kidini.
Mwalimu aliwaonya, na sasa utabiri wake unatimia.
Mwalimu alisema,
"Zanzibar ikianza kujibagua toka Bara hawatabaki salama maana slama ya Zanzibar ni umoja na Bara.
Wakiisha kuwabagua Bara watakuwa wamefanya dhambi kama wachawi wanaokuka nyama ya watu.
Ulila nyama ya mtu utaendelea kula nyama ya mtu.
Mwalimu aliendelea kuwa, baadaye Wazanzibari wataendeleza dhambi ile ile ya ubaguxi na kugundua kua Zanzibar kuna Wazanzibari na Wazanzibara, na kuna Wapemba na Waunguja, hawatabaki salama hata kidogo"
Leo Mohammed Said, ukiwa mtu mzima mwenye akili yako washangaa nini, umeuendekeza sana ubaguzi wa kidini na makala zako za kuwa sifia na kuwaenzi "wazazi wako waislamu" humu mtandaoni, kwamba ndo walileta uhuru.
Ulihusika moja kwa moja kupanda mbegu za chuki katika jamii.
Zanzibar walipoanza na sera za kujibagua, ili wapate kujitambulisha nani ni mzanzibari(kwa kuwabagua wabara) sikuwahi kuona makala zako za kuonya juu ya ubaguzi huu.
Wengi tulilaumu hili, lakini kwa vile wazanzibari kupitia Baraza La Wawilishi, ndo liliendeleza ubaguzi huu hadi kufikia hatua ya kumpiga mrufuku ya kukanyaga Zanzibara Waziri Mkuu Pinda, wengi walishangaa ubaguzi na umoja wa kibaguzi wa wazanzibari.
Lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuonya juu ya hili.
Leo mbele ya kadamnasi u Hizbu na u ASP unaonyeshwa hadharani- tofauti zilizokuwepo hata kabla ya uhuru.
Halafu mtu mwenye akili unailaumu CCM.
HUU NI UNAFIKI MKUBWA.
Mnavuna mlichopanda, na Mwalimu was right, salama ya Zanzibar ni Tanganyika.
Tifuaneni wenyewe tuone mwisho wake...vumbi likituama, shwari itarejea.Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.
Zanzibar nchi huru watarudi vip waarabu mkuu mbona kama umeteleza kidogoChotara hizbu zanzibar si nchi ya wazungu. Chotara hizbu zanzibar si nchi ya waarabu. Chotara hizbu zanzibar si nchi ya wachina na nk.
Sasa wameandika Chotara hizbu zanzibar ni nchi ya Waafrika.
Ubaguzi ni wa kulaaniwa lakin katika hili sioni wapi ulipo hasa ukitilia maanani kuwa mtawala wa kabla ya Mapinduzi alikuwa mwarabu na kuna hisia kuwa anataka kurudi tena. Kuna ubaya gani kuwaambia wa zanzibar wenzao wanao shabikia kurudi kwa sultani kuwa zanzibar si nchi ya kiarabu bali ya kiafrika?