Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

Wakati ukiwa umeyachoka maisha ya ubaguzi, wengine tunatamani michongo ya huko na sisi hiyo hali tui experience siku moja

Tuanzie hapa Kwanzaa, embu huo mchongo
 
Mkuu unafanana sana na ndugu Jon Stephano
 
Nimekomaa sana. Nilisema labda niiende kuishi English speaking countries kama Canada au Australia mambo ni yale yale tu. Chuki na ubaguzi naskia huko Canada ubaguzi umetawala. Licha ya kutaka wahamiaji lakini wana deport sana hata ukiiba supermarket.
Kumbe wewe ni mwivi wa huko supermarket? Za kubeba box hazikutoshi? Ndo mnautaka ubaguzi wenyewe.
 
Ungesema unarudi Tu tukukaribishe ila sio kutuponda hivyo wamatumbi wenzio!
 
Nimekomaa sana. Nilisema labda niiende kuishi English speaking countries kama Canada au Australia mambo ni yale yale tu. Chuki na ubaguzi naskia huko Canada ubaguzi umetawala. Licha ya kutaka wahamiaji lakini wana deport sana hata ukiiba supermarket.

Et? Unaendaga Kama toka Bunju Kwenda Tegeta Nyuki?
 

Bongo balaa
 

Kweli mkuu
 
Ingekuwa vyema uwashauri ni kazi gani za kufanya, je watafanya biashara bila kuwa na mtaji.
Je kazi za heshima utapewa kipaumbele kuzipata dhidi ya mzungu?
Nasikiaga huko USA kama mna qualify sawa na mzungu black unapigwa chini.
Mwafrika ili apate kazi awe na extra skills au over qualify zaidi ya mzungu.
Je ni kweli kuwa wanaijeria wanaa minika zaidi hivyo sio ngumu kwao kupata kazi kuliko sisi wa vi inchi visivyojulikana?
Je ni kweli kuwa wanawake wa kizungu wanawapenda zaidi wanaume wa Nigeria kuliko sisi kutokana na maumbile,elimu na husling zao?
 
Hakuna nchi wananchi wake wanapenda foreigner afanikiwe...
Nenda Congo DRC..Zambia..Zimbabwe.South Africa ..nk..watakuchekea tu lakin
 
Hii JF usiiichukulie siriaz sana mpenzi. Waeza kuta jamaa yuko hapo Ngaramtoni anavuta bangi ya Tarime...., inamdanganya yuko pembeni ya white house anasikiliza hotuba ya Joe Biden
Nani alikudanganya kwamba bangi inadanganya labda kama unasemea pombe
 
Ni kweli hata hapa dar wazawa wakiona mtu wa mkoani kafanikiwa wanaanza kumbatiza majina..kwahyo ubaguzi hauishi heheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…