Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

INATEGEMEA AMEAMKAJE.. Mwezi mchanga msamehe bure.
Ila CCM nao wawe wanasoma tarehe za kumruhusu afanye mkutano. Tarehe za mwanzo na za mwisho wa mwezi, sio rafiki kwa wenye "akili zisizo na akili"awe anabaki ndani ameze vidonge ilikumsitiri chizi wetu wa taifa.
 
Nimesikia shangwe alizopata Prof Jay...Jamaa walitamani wampore MIC ila ndiyo hivyo tena.WanaKilosa wapo Baaado Muacheni aendelee kutuwakilisha.Kuna watu wanakera tuu,sasa Lijualikali alikuwa hana hata cha kuongea yupo yupo tuu
 
Magufuli ni Mbaguzi hadi anakera ....anaweza kufanikiwa kushinda na kupitisha wabunge wake kwa nguvu ..tena "wake" sio wa ccm lakini atakayeingia mwaka 2025 itakuwa ngumu sana kwake ...awe wa chama chochote ..kurudisha umoja wa kitaifa ...huwezi kuwabagua watanzania namna hii , hatukuzoea kabisa ....hii ni laana ..
Na kama amesoma picha wananchi wanaanza kukereka na hii tabia ...
Usiombe upate mshindani ambaye hakuachii hata nafasi ya kupumua!!!

Ukienda kulia, kipigo, kushoto kipigo, nyuma kipigo, mbele pia kipigo,

Na ole wake ndio uwe mwongeaji kama wewe, ukitoka hapo, utakuwa unawaambia watu, angelikuwa anasogea nyuma kidogo ningelimpiga!!

Kwa namna ya ushindani na uchapa kazi wa huyu mtu usiombe CCM ifululize watu wa Aina hiyo Kwa temu mbili tu za Uongozi, Vyama pinzani Tanzania Neno Hilo litasahaulika masikioni mwao, maana yake kuna hatari ya kuanza kujenga upinzani upyaaaa!!

Usicheze na wenye uchungu na nchi zao! Watu ambao wanapenda kuona siku moja zile nchi ambazo huvutia watu wengi kwenda kutafuta maisha huko nao wanakuja Tanzania kutafuta maisha, Ogopa sana
 
hiyo ya kunyang’anyana mic waliodhaniwa wapinzani mbona iko wazi tu wakati huu wa kuelekea uchaguzi si kitu kizuri kuwapa wapinzani nafasi ya kupata kiki kupitia kuongea katika mikutano ya Rais.

Mkulu yuko sahihi asilimia mia mbili huu ni wakati wa kusherehekea na kutangaza ahadi zilizotekelezwa si kuuliza uliza maswali ya kuudhi!!
 
Rais wetu ni mwanademokrasia nyie Wapinzani acheni kutafuta sababu za uwongo
Km mmeshindwa hoja mjipange 2025

Nkuu, jikite kwenya mda husika. Hoja ya mleta uzi na mambo yaliyofanyika katika hizo ziara. Je ni uongo?? Isikilize dhamira yako!!
 
Ni kuulize tu awe mbunge/diwani wa Cha Domo kapewa Mic aongee na wananchi wake atawambia Nini? Tumefanya hiki? tumeleta hiki? Tunazindua hiki? Tuna Jenga hiki?

Cdm sio chama kilicho madarakani, watasema walichofanya kwa nafasi yao. Na kimsingi huwa sioni tija yoyote kwa diwani au mbunge wa cdm, kwenda kwenye majukwaa ya huyo limbukeni wa madaraka, maana mahitaji ya wananchi yanajadiliwa kwenye vikao. Hivyo hiyo mikutano ni kama kutaka kunenepeshea ng'ombe mnadani.

Nimewahi kuwashauri viongozi wa cdm kutokuhudhuria mikutano ya huyo jamaa, maana huwa anasaka sifa za bei rahisi kwa kuwadhalilisha. Hayo maneno ya maendeleo hayana vyama, ni ya mdomoni ili kujifanya ni mwema, ila kwa matendo yake ni kinyume kabisa. Na hilo liko wazi.
 
Kosa la Magufuli ni kufanya hata Yale ambayo watu wangali wakifikiri kuwa Kwa hilii!!! Hatoweza kulifanya

Ikitokea amelifanya, watu wa Aina hiyo, hulazimika humtafutizia makosa ya kulazimisha, ili tu naye angalau aonekane anafanya makosa!

Kwa kuwa naye ni Binadamu! Hawezi kuishi bila kukosea, hiyo ni huluka yetu binadamu, na hata mleta mada naye hukosea!!

Lakini Kwa ujumla wake, Makosa ya Magufuli ni kazi zake na si vinginevyo

Hata Elibashir wa Sudan alikuwa na watetezi wapanga pointi kama za kwako.
 
Kosa la Magufuli ni kufanya hata Yale ambayo watu wangali wakifikiri kuwa Kwa hilii!!! Hatoweza kulifanya

Ikitokea amelifanya, watu wa Aina hiyo, hulazimika humtafutizia makosa ya kulazimisha, ili tu naye angalau aonekane anafanya makosa!

Kwa kuwa naye ni Binadamu! Hawezi kuishi bila kukosea, hiyo ni huluka yetu binadamu, na hata mleta mada naye hukosea!!

Lakini Kwa ujumla wake, Makosa ya Magufuli ni kazi zake na si vinginevyo
Wewe hautakufa kwa njaa bali kizazi chako kitavuna utumbo ulioupanda leo.
 
Tangu 2015 tumenunua wapinzani,kunyima wasifanye hata mikutano ya ndani pamoja na kusaidiwa na jeshi la polisi kukwamisha wapinzani
Msijiite wapinzani, nyie ni wachumia tumbo, wala hamkua na nia ya kuuza sera bali ni kutaka kuleta mtafaruku. Uzuri sasa hivi mmekwisha kabisa kabisa hamna mpya wala pa kujifichia
 
Mzuieni kusema hayo anayotapika tukose cha kusema. Aache kutumia madaraka yake vibaya tuingie tuongee na wananchi usikie mziki wake.
Mtakonda Mh. Rais asiposema, naona ufipa mna kitengo cha kukuza majungu
 
Back
Top Bottom