Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Hadi wanachama wa CCM walimshangilia,maana jamaa aliwasemea matatizo ya masingi ya wananchi, ikiwepo malipo ya madiwani wa CCMNa leo eti anasema anasmhukuru lijuakali yupo, japo wakati wabunge wa ccm wanaongea wananchi walikua kimya.. ila aliposimama mbunge wa mikumi bwana haule toka chadema hadi wananchi wamesimama kumchangilia na akaongea point tupu.