Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

Na leo eti anasema anasmhukuru lijuakali yupo, japo wakati wabunge wa ccm wanaongea wananchi walikua kimya.. ila aliposimama mbunge wa mikumi bwana haule toka chadema hadi wananchi wamesimama kumchangilia na akaongea point tupu.
Hadi wanachama wa CCM walimshangilia,maana jamaa aliwasemea matatizo ya masingi ya wananchi, ikiwepo malipo ya madiwani wa CCM
 
Na leo eti anasema anasmhukuru lijuakali yupo, japo wakati wabunge wa ccm wanaongea wananchi walikua kimya.. ila aliposimama mbunge wa mikumi bwana haule toka chadema hadi wananchi wamesimama kumchangilia na akaongea point tupu.

Hapo utakuta ilimuuma sana kwanini wananchi wanamshangilia mbunge wa cdm, wakati cdm hawajajenga reli! Kitu ambacho hajajua ni kitamuumiza sana ni kuwa, kipenda roho hula nyama mbichi.
 
Ni sawa wa tu hata ningekuwa mimi diwani/mbunge wa chadomo wa Kazi gani? Ningemfukuza kabisa eneo nililokuwepo, Kazi kupinga pinga tu.kama ndio wa Cha Domo unafikiri angeongea Nini? Wapinga maendeleo ndio dawa yao hiyo, Safi sana magufuli.
 
Uzuri hakuna mbunge au diwani wa cdm aliyebaki anamtetemekea kwa lolote. Waliokuwa cdm na wanamtetemekea aliwashawanunua wote.
 
Magufuli ni Mbaguzi hadi anakera ....anaweza kufanikiwa kushinda na kupitisha wabunge wake kwa nguvu ..tena "wake" sio wa ccm lakini atakayeingia mwaka 2025 itakuwa ngumu sana kwake ...awe wa chama chochote ..kurudisha umoja wa kitaifa ...huwezi kuwabagua watanzania namna hii , hatukuzoea kabisa ....hii ni laana ..
Na kama amesoma picha wananchi wanaanza kukereka na hii tabia ...
Yani huyu mzee ananiachaga hoi kwa unafiki wake pale ambapo mambo anayoyasema na kuyahubiri kila siku eti maendeleo hayana chama au sijui nini lakini kiuhalisia mambo anayofanya ni tofauti kabisa na kila anapopata nafasi huwa hawezi kabisa kuficha kuonyesha chuki zake za waziwazi dhidi ya wabunge au viongozi wa upinzani....
 
Kosa la Magufuli ni kufanya hata Yale ambayo watu wangali wakifikiri kuwa Kwa hilii!!! Hatoweza kulifanya

Ikitokea amelifanya, watu wa Aina hiyo, hulazimika humtafutizia makosa ya kulazimisha, ili tu naye angalau aonekane anafanya makosa!

Kwa kuwa naye ni Binadamu! Hawezi kuishi bila kukosea, hiyo ni huluka yetu binadamu, na hata mleta mada naye hukosea!!

Lakini Kwa ujumla wake, Makosa ya Magufuli ni kazi zake na si vinginevyo
 
Tangu 2015 tumenunua wapinzani,kunyima wasifanye hata mikutano ya ndani pamoja na kusaidiwa na jeshi la polisi kukwamisha wapinzani
Mleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015?? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,
 
Yeye alikuwa mbunge wa chato toka 95 je alimaliza changamoto zao, Tena wananchi wake waliwahi kumpa Kero ya barabara, akawaambia wanye watandaze mavi yawe lami
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uzuri hakuna mbunge au diwani wa cdm aliyebaki anamtetemekea kwa lolote. Waliokuwa cdm na wanamtetemekea aliwashawanunua wote.
Ni kuulize tu awe mbunge/diwani wa Cha Domo kapewa Mic aongee na wananchi wake atawambia Nini? Tumefanya hiki? tumeleta hiki? Tunazindua hiki? Tuna Jenga hiki?
 
Ni kama alishawahi kuwa frustration sana.
Yaani badala atatue changamoto yeye anazodoa zodoa watu hovyo hivyo majukwaani hajui hata majimbo ya wabunge wake ..yeye ni kuropoka ropoka tu ..
Itoshe awe anaambiwa na wasaidizi wake.
 
Halafu na kwa hali hii ya upendeleo anaouonesha naanza kukubali huyu mwamba bila shaka October atatumia nguvu kubwa sana wasirudi bungeni iwe mbunge au diwani wa upinzani halagu baada ya hapo katiba inabadilishwa anakua rais mpaka kifo..hii janja janja ya kusema atastaafu 2025 nimeanz kuikataa.
Magufuli hategemewi kustaafu karibuni, hadi amalize daraja la Busisi,Bwawa la Nyerere, SGR.
Kwani akitoka tu kabla ya hayo hamwamini Raisi ajae kama atayatimiza.
 
Back
Top Bottom