Ubaguzi wa kocha wa Taifa Star inawafanya wachezaji wengi kukataa kujiunga nayo

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
 
Huyo kocha mshenzi dalali wa wachezaji, atupishe. Kwanza ana sifa gani ya kufundisha Taifa Stars?
 
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
Haha! Umeongea kama Kibe De
 
Duh ndo yule alituletea muhindi anacheza sijui ligi daraja la ngapi huko uingereza,,,,wakati kuna wachezaji wa hapa ndani kwa kiwango wanamzidi,,jamaa alijiaibisha kwenye ile mechi
 
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
ulitaka wachaguliwe wajinga .mpeni nafasi
 
Kwani kocha wa hicho kichwa mwendawazimu kwa sasa ni nani? Bado ni yule Amrouche nani sijui asiye jielewa, au ni yule Mzanzibari Hemed Morocco asiyekuwa na jipya!!
 
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
ILA UNA MAJUNGU. NADHANI HATA KAZINI KWAKO WANAKUKOMA KWA MAJUNGU
 
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
Kwani kuitwa wachezaji kutoka nje Ndio kushinda? Nimeona ukiondoa Samatha na Msuva wengine wote Hakuna kitu
 
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
Mbona hujaweka bayana hayo madai ya ubaguzi.
Je, ni nani kabaguliwa,lini na ushahidi?.
Naomba utufumbue macho.
 
Kocha yuko sahihi,wachezaji kama Kevil John na Dikson Job waliitwa wakakataa,sasa awaite mara mbili kuwabembeleza?
 
Kama hufahamu tofauti ya FAT na TFF huu uzi wako ni batili
 
Wachezaji kukataa kujiunga taifa stars ni fursa kwa wengine wapya kuonesha uwezo, wakae huko huko japo ukweli we need Msuva tu. Msuva ana uchungu na nchi yake, mimi namuomba Msuva aje kwa maslahi ya nchi yake na asijali bifu lao na Moroko. Nimewaza Msuva kamaindi Samatta hajaitwa Stars maana wao hupeana assists za magoli.

Na hawa makocha weusi wenzetu hivi wana sababu gani ya kutomjumuisha mzoefu Samatta, icon yetu, kama si uchawi na chuki tu. Bongo bado hatuna mchezaji wa kuziba pengo lake. Nashauri Samatta aitwe kuongeza hamasa kwa wachezaji. Ni bora acheze na kutolewa kuliko kutoitwa kabisa.

Wengine wasipokuja sawa tu tuna mbadala na hawana maajabu , wamejaa ubishoo tu. Ila Msuva na Samatta are very important players, they must come.
 
Back
Top Bottom