Ubaguzi wa kocha wa Taifa Star inawafanya wachezaji wengi kukataa kujiunga nayo

Ubaguzi wa kocha wa Taifa Star inawafanya wachezaji wengi kukataa kujiunga nayo

Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
mkuu chama cha fat ndio kipi hicho?
 
mkuu chama cha fat ndio kipi hicho?
Football Association of Tanzania (FAT) kina Ndolanga, FAT ni babu yake na Karai TFF , kumbe ndo maana huwa hatuelewani humu, tukisema ilani ya chama macho kodo, ahadi za mwana tanu napo bila bila, sadiki na sikiri kimyaaa, mabala the farmer holaaa!!

kwahiyo mkuu wakati Coastal Union inabeba kombe la ligi kuu bara we ulikuwa wapi, ukifanya nini?
 
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu

Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani

Na anachuki na wachezaji fulani

Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira

Ila huyu kocha anabagua wachezaji

Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
sijaelewa, anabagua watanganyika au anabaguaje? au anataka aweke wala urojo, fafanueni anabaguaje?
 
Back
Top Bottom