valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
mkuu chama cha fat ndio kipi hicho?Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu
Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani
Na anachuki na wachezaji fulani
Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira
Ila huyu kocha anabagua wachezaji
Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
Football Association of Tanzania (FAT) kina Ndolanga, FAT ni babu yake na Karai TFF , kumbe ndo maana huwa hatuelewani humu, tukisema ilani ya chama macho kodo, ahadi za mwana tanu napo bila bila, sadiki na sikiri kimyaaa, mabala the farmer holaaa!!mkuu chama cha fat ndio kipi hicho?
Kelvin John mbona kaitwa.Kocha yuko sahihi,wachezaji kama Kevil John na Dikson Job waliitwa wakakataa,sasa awaite mara mbili kuwabembeleza?
Naona jamaa bado ana kumbukumbu za Ndolanga.Hiyo Fat ni chama cha wapi
sijaelewa, anabagua watanganyika au anabaguaje? au anataka aweke wala urojo, fafanueni anabaguaje?Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu
Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani
Na anachuki na wachezaji fulani
Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira
Ila huyu kocha anabagua wachezaji
Tunaomba chama cha Fat kimtimue huyo kocha kwa uhai wa timu
Chama cha akina ADEN RAGEHiyo Fat ni chama cha wapi